Msanii Fareed Kubanda 'Fid Q' afunga ndoa katika Msikiti wa Qiblatain Boko, Dar es salaam

Msanii Fareed Kubanda 'Fid Q' afunga ndoa katika Msikiti wa Qiblatain Boko, Dar es salaam

ndo huyo 'mzungu' wake ama?

hongera zake..
zama hizi kuoa kipaji
 
Wadada mnajirahisi mnashikwashikwa na kuchezewa wee kisa wanaenda kuoa wa kawaida.. Mfano sahihi ni
Fid q
Ay
Mwana Fa
Masanja
Ali kiba
Etc




Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyie mnataka wake wa aina gani? Ikiwa kama mnataka waoe wazuri kwa mtazamo wenu..Je wale wabaya kwa mtazamo wenu hawana haki ya kuolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuvaa kama waarabu ndio fashion siku hizi au?
 
Back
Top Bottom