Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mkuu gh hussa acha uoga, ikiwa wewe hutaki kugusa huko je watu wako wa karibu hawapendi kuona unafanikisha hilo jambo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishatoka tangia 2015 mkuuMkuu, wewe bado umejikita katika kambi ya ukapela ama ushatoka kitambo..!
Sent using Jamii Forums mobile app
ay mtoe aiseh yani ameopoa chombo kizuri na smartWadada mnajirahisi mnashikwashikwa na kuchezewa wee kisa wanaenda kuoa wa kawaida.. Mfano sahihi ni
Fid q
Ay
Mwana Fa
Masanja
Ali kiba
Etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwako..Ushakuwa Mzee wa familianishatoka tangia 2015 mkuu
Kwani nyie mnataka wake wa aina gani? Ikiwa kama mnataka waoe wazuri kwa mtazamo wenu..Je wale wabaya kwa mtazamo wenu hawana haki ya kuolewa?Wadada mnajirahisi mnashikwashikwa na kuchezewa wee kisa wanaenda kuoa wa kawaida.. Mfano sahihi ni
Fid q
Ay
Mwana Fa
Masanja
Ali kiba
Etc
Sent using Jamii Forums mobile app
duuu kama FID Q KAOA BASI TENA,WAALE WENZANGu Wa sTaki dEmu tUanze harakat,maan huyu ndio alikuwa rOle mOdEl wetu,sasa katuachia usukani
Hii ni vidio ya tukio la ndoa yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkumbusheni mziki Ni Haraam kwa maelezo ya Mudy na huyo wanayemwita allah
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana aisee...maana ndo kick zinazotrend siku hizi