Usiangalie fashion.. Angalia asili yake hata kama kiarabu lakini ndo mavazi ya kiislamu.Kuvaa kama waarabu ndio fashion siku hizi au?
Nljposema wa kawaida nlimaanisha hawa wasio na umaarufu wala makekeay mtoe aiseh yani ameopoa chombo kizuri na smart
nilijua unamanisha sura za babaNljposema wa kawaida nlimaanisha hawa wasio na umaarufu wala makeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Sms hii imfikie Salama jabir ex wa FidWadada mnajirahisi mnashikwashikwa na kuchezewa wee kisa wanaenda kuoa wa kawaida.. Mfano sahihi ni
Fid q
Ay
Mwana Fa
Masanja
Ali kiba
Etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwao Allah awape utulivu kwenye Ndoa yao.
Naona mzungu alichoka kuombwa hela kila siku akasepa. Shem mpya nae ana sura nzito mnoDah kajiingiza kwenye matatizo rasmi
Mkumbusheni mziki Ni Haraam kwa maelezo ya Mudy na huyo wanayemwita allah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuoa si kuacha Uzinifu sheikh...!Hongera kwake, kuamua kuacha uzinifu... Na kutimiza moja ya hatua muhimu katika maisha...
Sent from the Ottoman Empire Servers [emoji273] Instanbul...
Ameacha uzinifu, kwakuwa kabla hajamuoa alikuwa anafanya naye bila ndoa /kuhalalishwa...
Ameacha uzinifu, kwakuwa kabla hajamuoa alikuwa anafanya naye bila ndoa /kuhalalishwa...
Sent from the Ottoman Empire Servers [emoji273] Instanbul...
Kwa hiyo Ostaz Uchebe anakula Haramu?
Una uhakika kuwa kwasasa hafanyi na wengine?
Kuacha uzinifu ni mtu kujikana mwenyewe kutofanya hata kama hujaoa bado...kuoa sio Ban ya uzinifu at all.
Sent using Jamii Forums mobile app