Msanii Fareed Kubanda 'Fid Q' afunga ndoa katika Msikiti wa Qiblatain Boko, Dar es salaam

Mbona dah Zitto, Kibba, Q, mbona kama wanachelewa sana.... Kuna maana gani kuchelewa hivi
 
Ok

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hongera kwake, kuamua kuacha uzinifu... Na kutimiza moja ya hatua muhimu katika maisha...

Sent from the Ottoman Empire Servers [emoji273] Instanbul...
 
Una uhakika kuwa kwasasa hafanyi na wengine?

Kuacha uzinifu ni mtu kujikana mwenyewe kutofanya hata kama hujaoa bado...kuoa sio Ban ya uzinifu at all.
Ameacha uzinifu, kwakuwa kabla hajamuoa alikuwa anafanya naye bila ndoa /kuhalalishwa...

Sent from the Ottoman Empire Servers [emoji273] Instanbul...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hujanielewa point yangu.. Ataacha kuzini na huyo anayemuoa... Kwingine tabu iko palepalee.. .

Back
Top Bottom