Iyunga ni shule ya boys mkuu.Huyu mdada alikua mtoto mkali wakati huo namaliza pale Mtwara Tech. Hata hivyo nasikia alihama akaenda kama siyo Ifunda ni Iyunga, sina hakika sana. Pale Mtwara Tech vijana wakimuita Macho ya Paka kwa sababu ya muonekano wake. Wakati huo alikua ni binti mbichi mweupeee!
Ila miaka ya 2000-2003 nilisikia wakiishi Tabata Chang'ombe.
Anyway kama ni mama wa familia, hongera zake!
Yah miaka fulani wakati nasoma ifunda kuna tela ya trekta mule workshops (karakana) lina chata sijui SOG kama niko sahihi . Wanadai lilikua la wakina AY. Live longer ifunda the glorious. R.I.P vagingaHuyu alianza harakati za mziki toka yuko shule, jina la Dataz katoka nalo sekondari kama utambulisho wake kwenye fani. Wakati huo tulikuja na kundi LA SOG lililojumuisha akina AY, Adam Senkwiji na PuffG (Gembe) kama sikosei.
Dataz alikua vizuri...long live Ifunda Tech the glorious!!!!
Huwa hakuna pupil wa secondary school.Zamani sana. Nadhani by then I was a secondary school pupil
πππHapana kamshikia mtu.
Yupo crdb tabataJamani yuko wapi Dataz?!
Long time, kitambo, Mdada huyu aliye-hit sana enzi zake kwa Bongo Flavor hasikiki/haonekani.
We miss you Dataz!
View attachment 375428