Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

Huyu mdada alikua mtoto mkali wakati huo namaliza pale Mtwara Tech. Hata hivyo nasikia alihama akaenda kama siyo Ifunda ni Iyunga, sina hakika sana. Pale Mtwara Tech vijana wakimuita Macho ya Paka kwa sababu ya muonekano wake. Wakati huo alikua ni binti mbichi mweupeee!

Ila miaka ya 2000-2003 nilisikia wakiishi Tabata Chang'ombe.

Anyway kama ni mama wa familia, hongera zake!
Iyunga ni shule ya boys mkuu.
 
Huyu alianza harakati za mziki toka yuko shule, jina la Dataz katoka nalo sekondari kama utambulisho wake kwenye fani. Wakati huo tulikuja na kundi LA SOG lililojumuisha akina AY, Adam Senkwiji na PuffG (Gembe) kama sikosei.
Dataz alikua vizuri...long live Ifunda Tech the glorious!!!!
Yah miaka fulani wakati nasoma ifunda kuna tela ya trekta mule workshops (karakana) lina chata sijui SOG kama niko sahihi . Wanadai lilikua la wakina AY. Live longer ifunda the glorious. R.I.P vaginga
 
yupo huku Mkuu
Huyu
Screenshot_20200202-184112.jpeg
Screenshot_20200202-184011.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom