Chris14
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 3,076
- 2,181
Iyunga ni shule ya boys mkuu.Huyu mdada alikua mtoto mkali wakati huo namaliza pale Mtwara Tech. Hata hivyo nasikia alihama akaenda kama siyo Ifunda ni Iyunga, sina hakika sana. Pale Mtwara Tech vijana wakimuita Macho ya Paka kwa sababu ya muonekano wake. Wakati huo alikua ni binti mbichi mweupeee!
Ila miaka ya 2000-2003 nilisikia wakiishi Tabata Chang'ombe.
Anyway kama ni mama wa familia, hongera zake!