Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini aliitwa 'dataz'Huyu alianza harakati za mziki toka yuko shule, jina la Dataz katoka nalo sekondari kama utambulisho wake kwenye fani. Wakati huo tulikuja na kundi LA SOG lililojumuisha akina AY, Adam Senkwiji na PuffG (Gembe) kama sikosei.
Dataz alikua vizuri...long live Ifunda Tech the glorious!!!!
Kwanini aliitwa 'dataz'
AmedataKwanini aliitwa 'dataz'
George Squizer ni kaka yake na wako very close kibongobongo wengi walikua hawaamin kama ni nduguSquizer si kaka yeke. Lakin pia inasemwa kwaolewa
Walidhani ni MTU na demi wakeGeorge Squizer ni kaka yake na wako very close kibongobongo wengi walikua hawaamin kama ni ndugu
Tena uko Tabata ndo kwao tangu kitambo nilikuwa wanawaona uko yeye na kaka yakeNi Bank Teller wa CRDB, Tawi la Tabata pale Magengeni (panaitwa Posta) Dsm..
Jicho lake bado mashallah!