Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

Msanii Florence Kassela a.k.a Dataz

Dataz na ule wimbo mume wa mtu ulikua mkali sana
 
Dataz na ule wimbo mume wa mtu ulikua mkali sana
 
Dataz anapiga kazi pale CRDB Tabata Magengeni...ukienda hapo utamuona.
 
Huyu alianza harakati za mziki toka yuko shule, jina la Dataz katoka nalo sekondari kama utambulisho wake kwenye fani. Wakati huo tulikuja na kundi LA SOG lililojumuisha akina AY, Adam Senkwiji na PuffG (Gembe) kama sikosei.
Dataz alikua vizuri...long live Ifunda Tech the glorious!!!!
Kwanini aliitwa 'dataz'
 
Nimepita sehemu nimeo ITV wimbo wa why why , ulioimbwa na dataz na kaka yake quiza kumbu kumbu zikanijia hivi uyu dada kapotelea wapi , kwani alikuwa ni mmoja ya wasanii wa kike wenye style nzuri sana ya kurap
 
Yawezekana anaendelea na maisha mengine
 
Mtafute Youtube mkuu, si ndio tunamuonaga huko. Au wewe ulikuwa unakutana nae wapi?
 
Miaka miwili mitatu nyuma alikuwa clouds kuna kitengo alipewa sasa sijajua kama bado yupo au hayupo....!
 
ucjali mkuu,ipo siku nae ataibuka kutoka kusikojulikana kama alivyoibuka bro ake mibangi skwiza!
 
Ni Bank Teller wa CRDB, Tawi la Tabata pale Magengeni (panaitwa Posta) Dsm..
Jicho lake bado mashallah!
Tena uko Tabata ndo kwao tangu kitambo nilikuwa wanawaona uko yeye na kaka yake
 
Back
Top Bottom