Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Anamuonea wivu kwa vile ben kaonyesha makalio yaliyopakwa wese au kivipi mkuu?Wivu wa ajabu
Kusema kweli kuna haka ka dada kanaitwa "Pink".....duh!!!! Mimi ningekashauri kaachane na muziki afande sele
Asante umenisemea..Masanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.
Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.
Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.
Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
Nature hapana mkuu temba nimekuelewaMh Temba na Juma Nature
Nyimbo za babalevo lazima kwanza uwe ushatoa loki kichwani ndo uzielewe,next time tafuta stata ya kilevi unachotumia alafu tafuta nyimbo yake alomshirikisha dullyMasanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.
Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.
Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.
Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
....natoa shilingi jombaa!Kusema kweli kuna haka ka dada kanaitwa "Pink".....duh!!!! Mimi ningekashauri kaachane na muziki kabisa.
Wanajiita scorpion GirlsJini kabula na kikundi chake
Mh Temba na Juma Nature
Hemedi ni muimbaji na mtunzi mzuri tuuHemed
Wivu wa ajabu