Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

Masanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.

Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.

Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.

Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
Asante umenisemea..
 
Ray C, aache tu maana si yule wa kipind kile despite her countless efforts to hit lkn wp
 
Masanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.

Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.

Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.

Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
Nyimbo za babalevo lazima kwanza uwe ushatoa loki kichwani ndo uzielewe,next time tafuta stata ya kilevi unachotumia alafu tafuta nyimbo yake alomshirikisha dully
 
Mh Temba na Juma Nature
sele+sase.jpg
 
Snura, Harmorapa, Shilole , Q Boy waache kuimba maana sijawahi kuwaelewa wanachoimba
 
Back
Top Bottom