Ben Paul maana kaanza tabia mbaya
Wee shoo anatoza million 30 tena wacha kabisa[emoji2]King Crazy GK, kuna kipindi alijaribu kurudi lakini wapi!
Wivu wa ajabu
Kwa baba REVO uko sahihi sana hata kabla hatujacomment aache tu.Masanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.
Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.
Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.
Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
Mdomo hauna ulimi in makinda's voice.Mrisho gambo, sorry mpoto