Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

Msanii gani Bongo ungemshauri aachane na mziki?

Diamond aache na aende tu kigombania ubunge sijui udiwani maana mziki ushamshinda kageukia siasa
 
Ni vyema mngekua mnawashauri na kazi gani zingine za kufanya ambazo zitawafaa zaidi sio unasema waache tu music kwa hisia zako sasa wakale wapi?
 
Masanja hua anamchezea sn Mungu kwenye gospel zake uchwara.

Q Boy Msafi nae ajikite kwenye kipaji chake cha kumnyoa Diamond aache muziki.

Kuna kipindi nilisikia Gigy Money anatambulisha wimbo wake redioni, kidogo nitapike.

Hivi yule jamaa anajiita Baba Levo bado anaimba. Sijawahi kumwelewa miaka buku.
Kwa baba REVO uko sahihi sana hata kabla hatujacomment aache tu.
 
Back
Top Bottom