King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
issue ya kifo cha faza nelly ilikuaje?
Hii mbona ipo kitambo humu tafuta thread zake, alipigwa kisu(beto) na jirani yake mambo ya ugomvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
issue ya kifo cha faza nelly ilikuaje?
We ngoja tu 😂😂hii mbaya sana...najua wenye salio la kutosha watakuwa wanatumia hio nafasi kuwapata mateller wa kike kimapenzi
Yvonne Paul mshindi wa tano nadhani tulikuwa classmates O level.Miss Tanzania 2020, Rose Manfere hadi siamin kama amekuwa miss. Anasoma na mdogo angu pale Ardhi na ni best friends kinaz na wanakaa room moja basi huwa tunatanianaga kwa voice note whatsapp ila ndo hivo ndio mrembo wa taifa.
Ila honestly sijawahi kutana naye bado.
Mkuu unasubiri picha ya pamoja? Tia vokaliMiss Tanzania 2020, Rose Manfere hadi siamin kama amekuwa miss. Anasoma na mdogo angu pale Ardhi na ni best friends kinaz na wanakaa room moja basi huwa tunatanianaga kwa voice note whatsapp ila ndo hivo ndio mrembo wa taifa.
Ila honestly sijawahi kutana naye bado.
unakaa buguruni ipi?Enzi hizo nasoma english course kwa ras Simba magomeni mapipa pale nikakutana na Dogo Janja na yeye sijui alikuwa anataka kusoma pale? Na joti niliwahi muona Happ.
Mirror nimepiga nae Sana story tulikuwa tunakaa Mtaa mmoja maeneo ya Buguruni enzi hizo hajatoa hata ngoma Moja.
Q chief aliwahi pita na kibajaji maeneo ya kinondoni pale nikamuuzia sigara!
(Nilikuwa nauza kiduka flani hapo)
Barnaba nishamuona mara nyingi tu pale White Rose sema hatukuwahi kuongea chochote.
Dr cheni, Aika wa Navy kenzo, Nyoshi el Sadaat, Abdu kiba, Shamsa Ford, Chidi Mapenzi, Patcho Mwamba, ,Jimmy Mafufu, Mr Blue Mitaa ya tabata kimanga kule, Dully sykes etc.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]2018 nimekutana ba Belle 9 naelekea mwanza nimepanda kisbo tulikaa sit moja yeye alipandia moro akashuka dodoma.muongeaji kawaida tu ila alikua anajishtukia shtukia sasa sijui why...ila usanii ni kazi ngumu sanaa
Vipi kuhusu mawasiliano?Yvonne Paul mshindi wa tano nadhani tulikuwa classmates O level.
Alikuwaga head girl shuleni.
[emoji28][emoji28] Huyo ni levo za macelebrity brazaMkuu unasubiri picha ya pamoja? Tia vokali
ilikuwa mtwara aiseealikukuta wapi?
Yaani kisa yeye 🌟hahaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] alikimbizaga sana
Usione samaki mkubwa, uliza Bei.[emoji28][emoji28] Huyo ni levo za macelebrity braza
Mwezi Desemba 2017, natoka Cairo nilikuwa naunganisha ndege Addis Ababa kurudi DSM, nilikutana na Asley akaniamkia Shikamoo nami nikamuitikia Marahaba. Hayo ni maneno mawili tayari, neno la tatu halikuwepo.Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.
Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.
Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,
Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.
Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
wapi?Hamorapa!
Acha uzushi basi🤣niko namchakata mimi mars dakika hii!.. hatuongei sana ni kazi kazi tu!..
Dully sykes zamani sana alikuwa mshikaji nadhani ilikuwa around 2002 au 2003 wakati huo anatembea na "ATU" ,cha kusikitisha ATU alifariki kwa "NGOMA".
Father Nelly alikuwa msela wangu sana enzi hizo wakati nakaa "NGALIMI".