Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Wasanii wengi wa Arusha waliopo Dar nimekaa na kupiga nao story mitaa ya Sinza. Maisha yanaenda kasi sana.

Wengine ni Bongo Movie na wadada wa kwenye video sijui ndio video vixsen ata sielewi inaandikwaje.
 
Joh Makin,Lord Eyes,Bou Nako...n.k
 
Jamaa alikua mkimya flani hivi enzi hizo shule ya msingi Mapamabano kabla hazivunjwa kuwa mbili na Shekilango alikua na kundi lake flani hivi kama5 wababe hao.

Ila nilikuja kushangaa baada, ya miaka namuona luningani ana rap kwenye kipindi cha cheusi dawa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ikawa surprise
 
Sanaa! Nikaja Kumtafuta jamaa akanikacha kabisa et hanijui wakati tumeshawahi adi chimbiana mkwara kisa do mmoja hivi.
hahaaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akakuvimbia... inaonekana alikuwa na kinyongo na wewe hahahhaa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hahaahah! Inawezekana mzee,.
 
Joh Makin,Lord Eyes,Bou Nako...n.k

Ongezea Stopa, Junior Nako, G Nako, K na D wa Mapacha, kipindi fulani akaja Juru na Odinary. Mara chache utaambiwa Oi chalii njoo JCB anakutafuta akuachie mzigo wa Hood za YKMK ukienda unamkuta na Chindo mtu wa stori nyingi anakuambia dogo rudi Chuga Dx anakutafuta umekuja kuwaje kama mbanga wa Dar?. Unamwambia ntarudi Bro.
 
Joh makini kabla hajatoka kuna siku alikua anapita mtaa akakuta tunapiga ngoma yake
Sisi hatukumsoma alikuja tukapiga pale akatuambia oya wazee ngoma yangu hiyo
Alikaa pale tukapiga story moja mbili tatu
Maisha yakaendelea
 
Sheta alikuwa ana vituko nakumbuka kipindi hiko tupo form 4 mwaka 2008 tukaenda kwao Boma kusolve paper fake kipindi tunapiga necta sasa wakati sisi tunasolve paper yeye kasolve saaa moja kachoka akakimbika akaenda chumbani kwake akawa anaimba nyimbo zake halafu akawa anasema anaejisikia kachoka aje kuimba wakati kesho necta
Hakeem five huyu nilisoma nae kuna siku tupo darasani jamaa alikuwa ananipigia chabo sana halafu zikija matokeo muda mwingine ananipita wakati muda wote ananigelezea basi nikawa namuambia Hashimu(Hakeem five ) sitaki unipigie chabo maana yakija matokeo ananipita labda somo moja sio yote nilikuwa nachukia kweli
Chid Benz mikono vululu ukikutana nae mtaan yaan jamaa alikuwa ana misemo yenye akili kama una bichwa bovu huwezi elewa
Q chief sikujuwa kama alikuwa msanii kwenye miaka 2000 nilikuwa kama na miaka 9 tupo maskani tunasikiliza nyimbo yake sasa kuna jamaa mmoja akawa anasema Abuu(q chief) anaimba sauti kama ya kike kipindi kile ile nyimbo Aseme akija maskani tunakula nae mihogo basi tukawa tunamtania Daa msanii mkubwa anashindia mihogo
Nako2nako hasa ibra Du hutsla huyu ndio alinifanya nipende hip pop 2006 na 2007
 
Chindo yupo marekani now.Mapacha nao huwa wanajiachia sana mitaani
 
chid benz enzi zake...Bou Nako ushamuona?
 
Joh makini kabla hajatoka kuna siku alikua anapita mtaa akakuta tunapiga ngoma yake
Sisi hatukumsoma alikuja tukapiga pale akatuambia oya wazee ngoma yangu hiyo
Alikaa pale tukapiga story moja mbili tatu
Maisha yakaendelea
unatokea chuga?
 
Back
Top Bottom