Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

akati naendesha bolt nimekutana na wengi sana..

jay moe mtu poa very likable dude

amber lulu nilimpakia mara 2 ni mpole sana tofauti ya mtandaoni nikamwambia nataka niwe msanii akaniambia ata usijihangaishe hamna kitu huku ila mpolee au labda first impression.

Abby charms alinipa tip ya elf 10 nilikua na gari bovuuu na halina a.c maza ake akanitilea shombo aka cancel trip njiani abby alivoshuka akanishikisha 10 kimya kimya.

Ila nshakutanaa na wengne wengiii studio, na sinza vatican kwa mwanangu..wasanii wengi sana wanakaa sinza.
 
Abby charms is a good human
 
siku moja nipo stendi ya mabasi yaendayo mikoani UBUNGO...nilikutana uso kwa uso na JOYCE KIRIA...kipindi hicho alikuwa hot kweli kweli hakuwa mnene kama hivi sasa. sikuweza kuzungumza nae chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nilipo muona Nikajisemea nahitaji kufanya kazi na huyu mtu. sikuwa na namba yake na wala sikujua zilipo ofisi zake.

mtandao wa Instagram ulinisaidia JOYCE KIRIA akawa Rafiki yangu mkubwa na boss wangu pia {hadi leo japo sifanyi nae kazi ila ni mwanangu sana}

kupitia Joyce Kiria. nimewahi kukutana na kuzungumza na Paul Makonda, kipindi akiwa mkuu wa mkoa na alivyo itishaga mkutano wa wafanya kazi wa Bar pale mlimani city mimi na team yangu ndio tulio muunganisha na watu hao hadi ukumbi ukajaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kupitia Joyce Kiria niliwahi kuzungumza kwa kirefu na Shilole nilimpenda sana japo ni mtu ambae bila pombe awezi kuwa vile mnavyo muona...{sorry for this} kipindi hicho mgahawa wake wa shishi food ulikuwa pale near airtel head office. Shilole alini hadithia jinsi shishi food ilivyo anza.

niliwahi kuonana na Rinna pamoja na Maua Sama...nilicho kigundua mastar wa bongo wakionana kwenye sehemu za starehe huwa wengi awapeani hi. wanakwepana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

asilimia kubwa ya mastar wa bongo ni zero brain kuna mmoja kabla hajawa maarufu kwenye story za hapa na pale likaniambia eti akitaka kusafiri anatumia passport ya ndugu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu dada nilimuona fala sana ngoja nilihifadhi jina lake.

mtaa niliokuwa naishi enzi za utoto tulikuwa jirani na H.MBIZO mzee wa nilonge nisi longe...{R.I.P} huyu mwamba alikuwa poua sana ila enzi hizo anatoa hicho kibao mimi nilikuwa mdoga sana nipo darasa la 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kupitia H.mbizo nilimuona Q chief.
Bila shaka mzee unatokea Magomeni Day Break
 
kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....

hili hakuna ambae ange amini ila simu niliyo kuwa natumia enzi hizo ilikuwa ya button na haikuwa na uwezo wa ku screenshot kama ilivyo leo...​
Ukiunganisha dots unaona ule waraka wa Thesi kwnye sm yawezekana pia ilimfanya jamaa waondoke nae cz alijua kila kitu
 
siku moja nipo stendi ya mabasi yaendayo mikoani UBUNGO...nilikutana uso kwa uso na JOYCE KIRIA...kipindi hicho alikuwa hot kweli kweli hakuwa mnene kama hivi sasa. sikuweza kuzungumza nae chochote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nilipo muona Nikajisemea nahitaji kufanya kazi na huyu mtu. sikuwa na namba yake na wala sikujua zilipo ofisi zake.

mtandao wa Instagram ulinisaidia JOYCE KIRIA akawa Rafiki yangu mkubwa na boss wangu pia {hadi leo japo sifanyi nae kazi ila ni mwanangu sana}

kupitia Joyce Kiria. nimewahi kukutana na kuzungumza na Paul Makonda, kipindi akiwa mkuu wa mkoa na alivyo itishaga mkutano wa wafanya kazi wa Bar pale mlimani city mimi na team yangu ndio tulio muunganisha na watu hao hadi ukumbi ukajaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kupitia Joyce Kiria niliwahi kuzungumza kwa kirefu na Shilole nilimpenda sana japo ni mtu ambae bila pombe awezi kuwa vile mnavyo muona...{sorry for this} kipindi hicho mgahawa wake wa shishi food ulikuwa pale near airtel head office. Shilole alini hadithia jinsi shishi food ilivyo anza.

niliwahi kuonana na Rinna pamoja na Maua Sama...nilicho kigundua mastar wa bongo wakionana kwenye sehemu za starehe huwa wengi awapeani hi. wanakwepana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

asilimia kubwa ya mastar wa bongo ni zero brain kuna mmoja kabla hajawa maarufu kwenye story za hapa na pale likaniambia eti akitaka kusafiri anatumia passport ya ndugu yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu dada nilimuona fala sana ngoja nilihifadhi jina lake.

mtaa niliokuwa naishi enzi za utoto tulikuwa jirani na H.MBIZO mzee wa nilonge nisi longe...{R.I.P} huyu mwamba alikuwa poua sana ila enzi hizo anatoa hicho kibao mimi nilikuwa mdoga sana nipo darasa la 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kupitia H.mbizo nilimuona Q chief.
hoply ulikuwa unakaa Daybreak!
 
Kuna yule chalii anaitwa Vanilla, nmemuona akikua kabisa mtaa mmoja mpaka anaanza kushine. Sema alivovalishwa gauni waungwana tulimind kinyama, sema sio kesi, abaki na mambo ya daslam
 
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.

Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.

Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,

Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.

Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
Oi
Kwani Msanii Siyo maarufu?😅
 
akati naendesha bolt nimekutana na wengi sana..

jay moe mtu poa very likable dude

amber lulu nilimpakia mara 2 ni mpole sana tofauti ya mtandaoni nikamwambia nataka niwe msanii akaniambia ata usijihangaishe hamna kitu huku ila mpolee au labda first impression.

Abby charms alinipa tip ya elf 10 nilikua na gari bovuuu na halina a.c maza ake akanitilea shombo aka cancel trip njiani abby alivoshuka akanishikisha 10 kimya kimya.

Ila nshakutanaa na wengne wengiii studio, na sinza vatican kwa mwanangu..wasanii wengi sana wanakaa sinza.
Amber lulu yule waliyepiga collabor na gigy kwa chuma cha chuma ndo mpole..??? 🫢
 
ndo mana nkashangaa, siyajui hayo ya collabo ila najua ni wa kujichetua mtandaoni sasa ki live alikua kapoa sana na anaongea kiupole, labda stress
 
Labda hiyo siku ulimkuta hajavuta 🤣🤣🤣
Yule ana video yake nyingine akiwa na Aslay
 
una data kama zote mkuu 😂😂 af ndo nn kubadilisha jina CUTEWIFE ulikuaga unakiwasha mnoo humu siwez sahau hyo dp
 
Kuna figisu zilitokea, nikataka kurudisha jina langu nikakuta kuna member kalichukua.!!!
Ila tuko pamoja 😀
 
Back
Top Bottom