Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Wasafi imekuwa tishio kiasi ambacho bifu za wanawake wamegombana wenyewe nyinyi mnawaingiza wasafi mbona hakuna connection yoyote ya wasafi na bifu ya gigy money na nandy
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utavava sanaaaah na badooooh, c unateseka eeeeeh? Basi mie ndo naongeza dosage ili u umie zaidi. Hebu relaaaaaaaaaaaaaax msieeeeeeew
Unajua unaongeaga sana mpaka kwenye ukweli[emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utavava sanaaaah na badooooh, c unateseka eeeeeh? Basi mie ndo naongeza dosage ili u umie zaidi. Hebu relaaaaaaaaaaaaaax msieeeeeeew
Dose and dosage wazee wa pharmacology ufafanuzi tafadhali.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Nimemshangaa sana mleta mada.
 
Reported
 
Well said.
 
Hapo hakuna msanii akaungane tu na mama yake kuimba taarabu, international unaijua wewe kwa mziki gani huyo chuchu alionao
 
Huyu mtoa mada ana lake jambo
 
Hahaha yani Nandy ana ukubwa huo wa mpaka WCB kumuundia tume?? Sio kweli asee huyo nandy anakimbizwa na zuchu kila kona kwenye platforms huko kwa miezi mitatu hii yote toka atambulishwe ni wa kuundiwa zengwe kweli??.
Mtoa mada kashiba ugoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…