Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Ulikua ujui Mkuu...iko wazi mbonaBro na kumiss dudu
Hiyo imekaaje chief.
Kwani cocastic ni chakura cha wahuni ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua ujui Mkuu...iko wazi mbonaBro na kumiss dudu
Hiyo imekaaje chief.
Kwani cocastic ni chakura cha wahuni ?
Wasafi imekuwa tishio kiasi ambacho bifu za wanawake wamegombana wenyewe nyinyi mnawaingiza wasafi mbona hakuna connection yoyote ya wasafi na bifu ya gigy money na nandyHahaaa
Unajua unaongeaga sana mpaka kwenye ukweli[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utavava sanaaaah na badooooh, c unateseka eeeeeh? Basi mie ndo naongeza dosage ili u umie zaidi. Hebu relaaaaaaaaaaaaaax msieeeeeeew
Yaani unatumia anonymous ID halafu umeshindwa kumtaja huyo aliyechafuliwa!!?
Dose and dosage wazee wa pharmacology ufafanuzi tafadhali.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utavava sanaaaah na badooooh, c unateseka eeeeeh? Basi mie ndo naongeza dosage ili u umie zaidi. Hebu relaaaaaaaaaaaaaax msieeeeeeew
Nimemshangaa sana mleta mada.Inawezekana hupendi anachofanya Gigy ila sio vizuri kuwaingiza Wasafi. Wamtume Gigy kwa kuwa Nandy anawatishia kwa kipi alichonacho?
Gigy kapewa platform ya kusemea kama wasanii wengine wanavyopewa yakiibuka mambo mitandaoni.
Kuna sehemu Wasafi wamekukera ila acha kuwatungia uongo
Hujui nyuma ya pazia kuhusu ugomvi wao.huyo Gigy anamuonea sana Nandy....sijui kwa nini, sijaona sababu yoyote ya kum attack dada wa watu anayefanya yake
ReportedBro ume miss dudu
Nini cha maana alichonacho Nandy?Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?
ReportedFala wako kwenu huko na makaburi yenu yote!!huyo Nandy anaukubwa gani sasa hivi mpaka watu wauogope!?Nandy wa Ruge ndio huyu wa sasa?!huu si utopolo tu!Eti kushushwa alipanda lini huyo Nandy!?wakati sasa hivi Nandy anamhitaji Zuchu ili atrend!!kaa kwa kutulia jinga wewe
Mleta mada ameshiba makande [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakuja kutujazia nzi hapa.Wewe tafiti zako sijui unatumia vigezo gani,vp wale TCRA wameishia vp na Wasafi ?
Well said.Huwa nawashangaa Sana wanaomshabikia nandy , kiufupi nandy ni kopo hamna kitu pale , utunzi zero , ngoma Bora aliyoimba nimekuja kugundua kumbe alitungiwa na mwenzake pale THT, Diamond hakuona value yyte kwake thus why hakumtoa , true talent ni Maua sama , ndo kipaji chenye ubongo active , kuhusu Zuchu siwez sema yupo overated, normal or underated , nampa miaka miwili Kwanza ya kuwa active kwenye game , japo nilichonote kwake mpak sa hv ni uwezo mkubwa wa kunyumbulika na aina ya wimbo , na anahtaj guidance ili aperform better .....
Kuhusu fitina , wivu na majungu ni sehemu ya maisha katika ulimwengu huu wa dhambi , you should fight for na sio kuomba excuse au kurun out , kama nandy ana kipaji kwel bas azihirishe umwamba kwa kufight na Zuchu , kwan yeye nandy yupo under highly experienced intertainment media na Zuchu yupo under WCB , so still battle ni fair ......
Ila nachojua Nandy hamna kitu Bora hata Maua sama
Hapo hakuna msanii akaungane tu na mama yake kuimba taarabu, international unaijua wewe kwa mziki gani huyo chuchu alionaoNandy ni manzi flani huwa hawajibu watu kwenye macho ya media lakini huwezi jua behind the scene anadeal nao vipi. Hiyo ni strength yake
Kingine Zuchu kwa sasa ndio anapewa promo na sishangai hata akija kuwa leading female artist kwa Tz maana nguvu ya WCB imeonekana kwa kumpush mtu kama harmo ambao talent ipo low lakini sasa ni jina kubwa...
By the way Yoyote anaesuka mipango ya zuchu anaisuka fresh lakini je, ataweza kumfanya zuchu kuwa international act kama Vee ??. Mtihani huo
Huyu mtoa mada ana lake jamboInawezekana hupendi anachofanya Gigy ila sio vizuri kuwaingiza Wasafi. Wamtume Gigy kwa kuwa Nandy anawatishia kwa kipi alichonacho?
Gigy kapewa platform ya kusemea kama wasanii wengine wanavyopewa yakiibuka mambo mitandaoni.
Kuna sehemu Wasafi wamekukera ila acha kuwatungia uongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Rutashobo ni kiazi anatabia ya kukurupuka na ni muongo sana.
Mtoa mada kashiba ugoroHahaha yani Nandy ana ukubwa huo wa mpaka WCB kumuundia tume?? Sio kweli asee huyo nandy anakimbizwa na zuchu kila kona kwenye platforms huko kwa miezi mitatu hii yote toka atambulishwe ni wa kuundiwa zengwe kweli??.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena sio wasafi tu ,bali Diamond Platnumz.Kwel kweny huu uzi aliyekua anatafutwa sio gigy ni Wasafi[emoji16][emoji3][emoji3]