Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

alicho kitaka kaisha kipata 18/7 kapata tiketi ya kwenda kumuona zuchu halafu kingine nandy ajajibu chochote kwa sababu kalipeleka kwenye vyombo vya usalama

Hahhaha kwa hiyo malipo ni ticket kwenda Mlimani City?
 
Gigy anazingua kumbe, kongole kwa Nandy kama ameamua kua kimya aendelee hivyo hivyo, kukaa kimya ni jibu la mjinga....

Gigy ni kichaa anayetumiwa halafu atatupwa kama toilet paper!
 
Unajua maana ya kumharibia mtu image yake ?
Hapo msanii kama hajatulia atapanic na kujibu kwa kukurupuka kumbe anajiharibia

Hakika
 
Kama nandi ni kopo hamna kitu basi we uko biased,mambo ya kutungiwa nyimbo ni kawaida kwa wasanii wakubwa nandy huwezi kumfananisha na zuchu,nandy yupo juu kimziki na anajitegemea hayupo chini ya lebel ,bila wcb we ulikuwa unamjua zuchu ?
Hebu lete hits za zuchu na nandy nani yupo kwenye ramani,ongea facts na usichambue kimahaba

Inashangaza mtu anamuitq Nandy ni kopo hahahahaha halafu sijui atatutajia msanii gani wake anayejua...hahahah
 
Unachekeshaaaaa sanaaa wee kiumbee, kwahyo huyo Zuchu kuperform hapo mliman city, ndo awe level 1 na vee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli WCB n mazumbukuku khaaaaah.

Aiseeee
 
There is nothing as bad publicity, every publicity is a good publicity.

Boss wao kinachomfanya aongelewe siyo muziki ni skendo. Hata msanii wake mpya wakataka kuunda kaskendo kua anatoka na boss ila hii haikushika kasi wakaachana nayo.

Wasije kua wanampiga chura teke.
But where are the ethics of Media and journalism? Down the drain?
 
Nandy alikuwa ndiye anayemfuata kwa nyuma Ve money kwenye mziki ,hata v money alipotangaza kuacha mziki wengi walijua nandi ndo atakuwa msanii bora wa kike kwa sasa,Zuchu hata hana mwaka kwenye mziki lakini leo watu wanamfananisha na nandy
Inashangaza mtu anamuitq Nandy ni kopo hahahahaha halafu sijui atatutajia msanii gani wake anayejua...hahahah
 
Kama nandi ni kopo hamna kitu basi we uko biased,mambo ya kutungiwa nyimbo ni kawaida kwa wasanii wakubwa nandy huwezi kumfananisha na zuchu,nandy yupo juu kimziki na anajitegemea hayupo chini ya lebel ,bila wcb we ulikuwa unamjua zuchu ?
Hebu lete hits za zuchu na nandy nani yupo kwenye ramani,ongea facts na usichambue kimahaba
Nandy anaimba Zaid ya miaka mitano sasa , kwa miaka hii yote tungo zake ni low ila yupo overated ndo mana nimesema Hana jipya yule ni kopo tuu , nandy kujisimamia ni kauli ambayo ipo kwenye makaratasi , but in reality siyo, katika wasanii ambao wapo highly pushed by CMG Nandy ndo anaongoza , show yoyote ya Nandy Clouds wapo behind the scene kwa 100%, Siwez kumshindanisha Zuchu na Nandy , Zuchu ana miez mitatu tuu , baada ya miaka miwili ndo nitakuja na comment , na nimesema nimeanza kuona value ya Zuchu na ndo maana WCB hawajakrupuka kumtoa, hata Nandy alikuwa WCB ila wakamuona miyeyusho sababu hajui kuandika mashairi , Zuchu ngeli inapanda tena fluent English , ndo mana Mond anashinda naye home , huwez toboa nje kama ngeli ni miyeyusho , Nandy la Saba yule ni kichaga Tu na michapio kibao,....Mond anamtengenezea value Zuchu lakn value hyo automatically imekuwa kama anataka kumshusha Nandy , mtoa maada amedai gigy anatumika , hakuna ukwel wowote uliodhibitishwa kuhusu Hilo lakn kama hlo lipo , fitina , majungu , na figisu ni vitu vya kawaida hapa duniani huwez kuvikwepa popote pale , ulaya mpak wanafikia hatua ya kuchapana risasi, ....unalinganisha na Nigeria nchi yenye wakazi Zaid ya 200mil , whatever the frictional lazima watachomoza watatu au wa nne tofaut na tz yenye wakazi sjui 60 mil , msuguano ukitokea lazima mmoja adrop down cse soko ni changa , best example ni van money tungo zero lakn alikuwa overated , Nandy is next bro to go down , may be afight back tena so had
 
mleta mada umekurupuka, watu wana fanya show kwa viingilio hadi million ndo waje washoboke na nandi ambae tangu aanze mziki hajawahi kuweka kiingilio hata cha 20,000?

kinachowauma ni kuona zuchu alivyoanza kwa kishindo yaani show ya kwanza tu viingilio ghali kitu ambacho wasanii walio nje ya wcb mpaka wanaingizwa kaburini hawatoweza kufanya.

laiti maneno na matusi yangekua na uwezo wa kumshusha mtu kimuziki basi mondi ndo angekua mhanga wa kwanza maana kashasemwa na kutukanwa bt daily anachanja mbuga.

nb:wenye akili timamu washaelewa bt mazezeta yataendelea kupiga kelele
 
Ndio maana tunasema WCB mnafikiri kwa kutumia makalio

Huyo zuchu ameshawahi kupanda lini katika majukwaa ya international level na ku- performe kama ambavyo ameshawahi kufanya vee mara nyingi "?

Au zile show za kimataifa alizokuwa anafanya vee sio classic !??
kuna pahala nimeandika zuchu kashapanda majukwaa ya international? hebu soma nilichoandika then urudi
 
Negative kwa kuongozwa na hisia kuliko uhalisia.

Juzi kuna mdau kaleta thread hapa verse ya harmonize (Nandy ft Harmonize) imejaa matusi,nikaona unatetea lkn kama ingekuwa Diamond au WCB ungeponda manake huna tofauti na sigara kali.

Double standards=Unafiki.
Ni kana mapenzi ya upande mmoja hako kajamaaa
 
Wasalaam wanajamvi

Msanii Gigy Money hivi karibuni amekuwa akionekana kwenye media ya msanii Diamond Platinumz akifanya shughuli fulani ambayo mwanzo ilionekana kama ni serious lakini imekuja kujulikana ni shughuli ambayo amepewa aifanye maana walio mpa walio anaweza kuimudu vizuri

Msanii Gigy amekuwa akizunguka kwenye vipindi mbali mbali vya wasafi media akiporomosha matusi na kumvua nguo msanii mwenzie

Baada ya utafiti imesemekana kuwa shughuli anyoifanya Gigy money siyo ya bure ina malipo na haitokwisha leo mpaka lengo litimie.

Msanii Gigy money atatumiwa kuvujisha video na maongezi ya msanii mwenzie na walio mtuma wanajua kabisa anaweza na wamempa na vitendea kazi na lengo kuhakisha Msanii husika anachafuka vilivyo

Muziki wa Tanzania ndipo ulipofikia maana njia ya kupambana na msanii mwenzio ni kuhakikisha ana chafuka

Maswali ambyo yamekuwa yakiulizwa

> Je, hadi sasa Gigy amemudu kazi aliyotumwa afanye dhidi ya msanii mwenzie?

> Wasafi FM na Wasafi TV huu ujinga wanao upromote ni kwa faida ya nani?

> Je, ataweza kufanikisha mpango huo?

> Wanao mtuma wanahitaji nini?

> Wanao mtuma kwanini wasitumie muziki kupambana na muhusika kuliko kumtumia Gigy Money?

> Wakimaliza kumtumia Gigy Money wamtupa kama toilet paper?

> Atumiwe konki master ndio ataiweza?

Wasalaam
Wasafi Media imekuwa giant kiasi cha kutishia usalama wa privacy za wasanii.
 
Back
Top Bottom