TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo.

Atakumbukwa kwa vibao vyake kama vile Nataka na Kingzilla.

Aidha, Godzilla alijizolea umaarufu na mashabiki wengi kutokana na umahiri wake wa kuimba mashahiri ya papo kwa papo 'Freestyle'.

Inasikitisha sana kuona kijana mpiganaji anatuacha mapema hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26]. Upumzike kwa amani Kingzilla, salasala[emoji24].

Screenshot_20190213-063110_Instagram~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom