TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Bado sijaamini, leta taarifa rasmi na evidences za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hata mimi bado bado kidogo nafsi inakua nzito sana kukubali ukweli kama jamaa is no longer..!!
Screenshot_20190213-071524.png
 
Nazidi kuikumbuka Tanzania ya Nyerere ambapo makabuli yalikuwa machache yani tofauti kabisa na sasa ambapo kila kona kuna makabuli,pia ilikuwa sio kawaida kuona kijana mdogo amefaliki kwa magonjwa tulizoea kuona sisi vijana tukizika wazee ila sasa baada ya miaka mingi kibao kimenigeukia tena yani wazee ndio tunazika vijana sasa

Apumzike kwa amani,wazazi wake(kama wapo) mungu awape wepesi katika wakati huu maana uchungu wa kuzika mtoto naujua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all, njia yetu ni moja na mwenzetu amefanya kutangulia tu. Rest Easy Champ.
 
Back
Top Bottom