TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

RIP King Zilla Mungu akulaze mahala pema kwako Stive Nyerere
 
life is the bitch, and death is her sister
sleep is the cousin, what a fuckin' family picture
😭😭😭
 
Hakika kwake mola tutarejea .mola ampungizie adhabu ya kaburi, na mola awape subira ndugu wa mar
ehem
 
Natakaaaaaaa,
Kusomeka Viwanja vyote, na Sehemu zile zenye Bataaaaaa,
Cheza na Manzi wangu lakin Usivuke Mipakaaaaaa,
Ukijifanya mtoto wa Mbwa, Sie wengine Mbona Watoto wa Pakaaaaaa,

Nikiwa nina drive safari ndefu ya mkoa kama niko alone hiki kibao hua hakikosagi kwa flash then naimba kwa sauti kubwa sana, hii huniwezesha kupunguza uchovu wa safari pia kutosinzia barabarani, sababu ya kwanini wimbo huu na sio mwengine hata sijui.

RIP King Zilla
 
Back
Top Bottom