Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Natakaaaaaaa,
Kusomeka Viwanja vyote, na Sehemu zile zenye Bataaaaaa,
Cheza na Manzi wangu lakin Usivuke Mipakaaaaaa,
Ukijifanya mtoto wa Mbwa, Sie wengine Watoto wa Pakaaaaaa,
Nikiwa nina drive safari ndefu ya mkoa kama niko alone hiki kibao hua hakikosagi kwa flash then naimba kwa sauti kubwa sana, hii huniwezesha kupunguza uchovu wa safari pia kutosinzia barabarani, sababu ya kwanini wimbo huu na sio mwengine hata sijui.
RIP King Zilla
huu wimbo mimi bwana 😂😂😂naupenda mnoo na ninauchezaga balaa jaman...asbh umepigwa mie napaka mafuta acha nianze kuucheza..khaa wanamalizia wanasema rip ..nilipiga yowe mno yaan...!huu wimbo uwe na kitu kinachochuja sauti..utapenda