Malbwai Trashish
Member
- Mar 10, 2013
- 42
- 13
Oya mwana kaenda kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuwa muumba bora ningemtanguliza yule Dada mpenda kukaa uchi sijui poshy kwini au wema lkn sina namna kila mtu kwa wakati wake,pumzika mahala ulipojiandalia wakati wa uhai wako Godzilla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni star najulikana kwa kitaa whats up..... Am supposed to be the same..
Haijalishi ninapokaa.. Mfukoni nina pesa kadhaa whats up... Am supposed to be the same.
One of his best song :The same-godzilla
R. I. P brother
Unazidi kujitekenya tu.
Khaabith waahed.
😂😂😂😂nacheka km mazuri dahHivi kweli huyu yupo serious?
Dih ndoto za kijana mwenzetu zimekatika mapema sana. Ila jamaa alikuwa anabehave strangely recently nadhani kuna kitu hakikuwa sawa na kilikuwa kinamtatiza kiakili na kiafya pia.
[emoji23][emoji23][emoji23] chiz weweHapana. Aliomba tu awekwe mortuary kwa ridhaa yake.
Wtf.
Hivi kweli huyu yupo serious?
Duuuuu!!! Mtoto Doreen naye nasikia amechangia maana alimkolesha mchizi baadae akamwaga!!!!Yes, walikua wanambully sana. Kila anachopost wanambully. Mara zama zako zimepita
Mara pisha njia mara sijui blah blah. He was depressed. Nimeona issabella mtu wake wa karibu anasema sukari na presha vilishuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu angalia comment yangu ni ya mwanzo mwanzo hapo,nimeamka sikuwa na taarifa na huu uzi nimeuona fasta baada ya kupostiwa sikuwaWVna taarifa yeyote,sasa hivi nafungua mitandao ndo nimeona.
Nashangaa wewe hata hukuwa na akili japo ya kujiongeza ukaona natania sijui.watu wengine bhana sijui mkoje aisee
Nilitamani nikutukane ila nikaona bora nikusche ila siku ingine jirekebishe mkuu.sio poa hata nini,sikuwa na taarifa zozote na swali langu wala halikuwa la kejeli.
Taarifa ya awali si ndio hii mkuu? Au ilitakiwa usikie kutoka wapi?Mkuu angalia comment yangu ni ya mwanzo mwanzo hapo,nimeamka sikuwa na taarifa na huu uzi nimeuona fasta baada ya kupostiwa sikuwaWVna taarifa yeyote,sasa hivi nafungua mitandao ndo nimeona.
Nashangaa wewe hata hukuwa na akili japo ya kujiongeza ukaona natania sijui.watu wengine bhana sijui mkoje aisee
Nilitamani nikutukane ila nikaona bora nikusche ila siku ingine jirekebishe mkuu.sio poa hata nini,sikuwa na taarifa zozote na swali langu wala halikuwa la kejeli.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26] Ustar zigo la mwiba.. Kwa sasa kuna wanamziki wana Depression sana Kwa kuwaangalia tu unajua something is wrong na wanafight sana kurudi kwenye game lakini Raia wanakomaa na Kina Alikiba na Diamond[emoji26][emoji26][emoji26] Mtu kama Baraka the prince yani kaisha balaa.. Mavoko nae japo anachechemea..Kina Belle 9.. Q Chilla.. TID...Chid benz yani mpaka huruma.. Ray C nae naona anataka kurudi ila Hiyo nafasi naona kama alishaipoteza na ndio maaan Wasanii wengi madawa ya kulevya na bhangi ndo zinakuwa kimbilio lao.. Ustar kuupoteza na huna kitu sio kitu rahisis kukubali na kuishi nacho kabisaa Mungu awatie Nguvu sana hawa wasanii wetu aisee.. Mziki wa tz tatizo unakulipa ukiwa unahit tu yani Ukipotea kama hukujipanga Hata hela ya Kula unaweza kosaa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mandinga wala mademu hakuna tena...Duuuuu!!! Mtoto Doreen naye nasikia amechangia maana alimkolesha mchizi baadae akamwaga!!!!
Kafariki au?
Mze wa kula panya unaanza sasa. Umeshaambiwa mtu kafa nauliza eti kafariki, jamani panya hawa wana madhara yake, si mnaona jinsi wanavyowaangamiza jamii ya kihehe?
Inauma sana bro,We die too young......Nazidi kuikumbuka Tanzania ya Nyerere ambapo makabuli yalikuwa machache yani tofauti kabisa na sasa ambapo kila kona kuna makabuli,pia ilikuwa sio kawaida kuona kijana mdogo amefaliki kwa magonjwa tulizoea kuona sisi vijana tukizika wazee ila sasa baada ya miaka mingi kibao kimenigeukia tena yani wazee ndio tunazika vijana sasa
Apumzike kwa amani,wazazi wake(kama wapo) mungu awape wepesi katika wakati huu maana uchungu wa kuzika mtoto naujua...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo swali ni la mshabgao.
Kama wewe ukiambiwa mama yako kafa lazima uulize kwa kushangaa EE KAFARIKI?
huo ni mshangao,nashangaa sana watu hamuelewi.