Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Roho yake ipunzike kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia sema we sio mpenz wa hip hop tena bila shaka hata Moni central zone umjuiOkeee naona ana jina kubwa Ila miziki yake haivumi kivile
Baracka the prince ana kipaji cha kuimba ila kutunga hajui...alaf ana kiburi....Naj alimpiga chi jamaa, jamaa akakomaa wakarudiana tena kwa sharti la kubadili din....soon naj ataenda na pedeshee la mjin....Naji anamvumilia tu mwana ila hamna mapenzi pale tena... Labda mwana ahit tena yani mpaka amekonda balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaolewa ww ningekuwa mumeo ningekuchapa vibao...We naye ...humjui zilla..mie sifatilii sana bongoflava lakini niamshe saa9 uniulize nampenda msanii gan..nitamtaja zilla..yaan nimepiga ukunga ghafla..nimeumiaa..!we si unapenda manyimbo yenu yale ya bob marley😂😂
Ndo ivo golden ametwaliwa....Ohooooo acha Masiala jooh
2.Bill nas alikuwa mshkaji wake,nakumbuka mwaka jana mwishoni kwenye party salasala marehemu alitusikilizisha nyimbo waliyoshirikiana,na yeye Nas alikuwepo,plus style wanazoimba ni tafauti.Kuna vitu viwili vimempeleka haraka zilla
1. Kuachana na Doreen Andy wa clouds FM
2. Ujio wa billnass kwenye game
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana sikukutukana kwa sababu nilijua haikuathiri chochote Mkuu.
Wewe ukipewa taarifa za kukushtua sio ajabu ukauliza tena ulichoambiwa,hiyo ni kawaida kwa mtu mwenye moyo hai.
Mtu akipewa taarifa kwamba NYUMBA YAKO IMEBOMOKA KAMA KASHTUKA SANA ANAWEZA KUULIZA TENA "IMEBOMOKAA"???
Japo kuwa kaambiwa lakini anaweza kuuliza tena alichoambiwa.
Mkuu kama hukunielewa basi tufanye yameisha,swali langu lilikuwa lamshangao wa namna hiyo.
Nimesikitika sanaaAlikuwa mgonjwa kwani!?
I like that, we ball until we fall.King zilla kuna vibao vingi jamaa kafanya honest, but one of the song that everytime I can't think of deleting on my playlist ni Happy birthday naikubali sana hii nyimbo jamaa, alikuwa nakipaji all in all, we ball untill we fall rest in peace.
Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo.
Atakumbukwa kwa vibao vyake kama vile Nataka na Kingzilla
Aidha, Godzilla alijizolea umaarufu na mashabiki wengi kutokana na umahiri wake wa kuimba mashahiri ya papo kwa papo 'Freestyle'
--
Inasikitisha sana kuona Kijana mpiganaji anatuacha mapema hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26] Upumzike kwa Amani Kingzilla...salasala[emoji24]View attachment 1021043
Sent using Jamii Forums mobile app