TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Naji anamvumilia tu mwana ila hamna mapenzi pale tena... Labda mwana ahit tena yani mpaka amekonda balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Baracka the prince ana kipaji cha kuimba ila kutunga hajui...alaf ana kiburi....Naj alimpiga chi jamaa, jamaa akakomaa wakarudiana tena kwa sharti la kubadili din....soon naj ataenda na pedeshee la mjin....
 
We naye ...humjui zilla..mie sifatilii sana bongoflava lakini niamshe saa9 uniulize nampenda msanii gan..nitamtaja zilla..yaan nimepiga ukunga ghafla..nimeumiaa..!we si unapenda manyimbo yenu yale ya bob marley😂😂
Hujaolewa ww ningekuwa mumeo ningekuchapa vibao...
 
Innaa lillah wainnaa ilayhi raajiuun. Ni majonzi kiukweli, ni moja kati ya watu nilitokea kuwapenda kwa umahiri wao wa kucheza na lugha. Yafaa mauti kuwa mawaidha tosha.

_____________________________

Ilikuwa ni morning
Kucheki Jf nilipata mshtuko mkubwa moyoni, nikaskut nikasema pengine nipo ndotoni, nikavuta pumzi kiasi cha machozi kunitoka machoni

Kumcheki Millard Ayo
Ni kweli mwana amevuta na mwili upo Lugalo
Godzilla
Salasala homeboy hatunaye tena, majonzi yaliyonifika mpaka nashindwa kunena, Sina mengi ya kusema Mungu akulaze mahali pema

Ni wajibu kukiendea, na sote kinatungojea, R.I.P salasala hommie imani yetu huko unatungojea

_________"_________""______"_

Nina majonzi sana. Mungu akufanyie wepesi huko ulipo, kwani yeye ndiye anayehukumu na ni mwenye mwingi wa huruma kwa waja wake. Huruma yake kwa viumbe wake imezidi huruma ya mama kwa mtoto wake. Nasi tupo njiani, tutakufa tu.
 
King zilla kuna vibao vingi jamaa kafanya honest, but one of the song that everytime I can't think of deleting on my playlist ni Happy birthday naikubali sana hii nyimbo jamaa, alikuwa nakipaji all in all, we ball untill we fall rest in peace.
 


Haya pole ndugu yangu kwa msiba.

Tupoe sote kwa kumpoteza mdau mkubwa katika mziki.
 
King zilla kuna vibao vingi jamaa kafanya honest, but one of the song that everytime I can't think of deleting on my playlist ni Happy birthday naikubali sana hii nyimbo jamaa, alikuwa nakipaji all in all, we ball untill we fall rest in peace.
I like that, we ball until we fall.

Mungu amlaze mahala pema peponi.
 

IN GOD WE TRUST.....REST IN PEACE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…