TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo.

Atakumbukwa kwa vibao vyake kama vile Nataka na Kingzilla

Aidha, Godzilla alijizolea umaarufu na mashabiki wengi kutokana na umahiri wake wa kuimba mashahiri ya papo kwa papo 'Freestyle'

--
Inasikitisha sana kuona Kijana mpiganaji anatuacha mapema hivi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26] Upumzike kwa Amani Kingzilla...salasala[emoji24]View attachment 1021043

Sent using Jamii Forums mobile app
"KING ZILLA IN DA HOUSE SALASALA WE GO HARDER NIPO NA TEXAS YES HES MY BRODA" --M.A.P ZIZI
 
Wimbo wake wa ‘stay’ unaonyesha alikua troubled, sad msaada haukumfikia mapema....ni mpaka hapo tutakapokuws na facilities kwa watu wanao experience mental health difficulties, wengi watakufa kama huyu...cry to our government to take action
 
Nimetoka kumzika mzee wangu majuzi tu. Siku mbili kabla hajafariki alikuwa ananiusia kuhusu jamaa zetu, jinsi ya kuishi na mama yetu mlezi aliyetuachia pia alikuwa ananikumbusha nisiache kumuombea kwa mwenyezi mungu siku zote. Then nilipokuwa naondoka akaniambia kuanzia leo itabidi ugangamale siku si nyingi utakua baba wa familia hivyo usikubali ndugu wakuyumbishe.

Kesho yake napigiwa simu mzee hali mbaya ndo yupo kwenye sakaratul maut, sikuweza kuongea nae tena ila nilijiona mjinga sana kutong'amua màana ya mazungumzo yetu ya jana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana Mwenyez Mungu akupe subira.
 
Back
Top Bottom