Mbaya zaidi anazingus halafu hakuambii sababu gani iliomfanya azingue tatizo la msongo wa mawazo linaanziaga hapoHujawahi kupenda.... Mwanamke umemuandaa,kua mke wako wa maisha... Mkazoeana,mkapanga mipango yenu,halafu anakuja zingua hua ni hatari sana,ndiyo maana wanaume wengi huanza umalaya sana au unavuta hata barmed unaoa tu kwa hasira,matokea yake ndoa inakua ndoana.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kujiandaa kisaikolojia mkuu kama mashabiki wachache wa Mpira tunavuokuwa wala hautawahi kuwa na presha. Mpira una matokeo matatu kushinda, kufungwa na suluhu. Mapenzi au ndoa iko vile, kuacha, kuachwa au kuendelea kuishi pamoja hadi mwishoHujawahi kupenda.... Mwanamke umemuandaa,kua mke wako wa maisha... Mkazoeana,mkapanga mipango yenu,halafu anakuja zingua hua ni hatari sana,ndiyo maana wanaume wengi huanza umalaya sana au unavuta hata barmed unaoa tu kwa hasira,matokea yake ndoa inakua ndoana.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh..Mwisho wa mwaka tulikuwa na party kwao,mshkaji alikuwa anaonekana kama yuko off hivi kama kuna kitu kinamsumbua,kilichonishangaza zaidi ni pale nlipokuwa nampa ganja anakataa,akawa anakunywa pombe tu.ukiwa na stress ni afadhali ule kush kuliko pombe,anyway ilikuwa party ya kukumbukwa,tuliinjoy na sana,mungu ailaze pema roho ya kijana golden
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa haya maelezo inawezekana amerogwa
Noma
Kwani mwanamke ndo kasababisha kifo chake???Aisee wanawake watanzania wanzingua kiasi hiki? Naoa nchi jirani.
Hujawahi kupenda.... Mwanamke umemuandaa,kua mke wako wa maisha... Mkazoeana,mkapanga mipango yenu,halafu anakuja zingua hua ni hatari sana,ndiyo maana wanaume wengi huanza umalaya sana au unavuta hata barmed unaoa tu kwa hasira,matokea yake ndoa inakua ndoana.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefia home. Lugalo walimkimbiza wakidhani labda amezimia. Ni inasikitisha mno kifo chake. Kafariki akiwa ameegemea bega la mama yake.Tarifa za awali zinasema amefia katika hospital ya Lugalo usiku wa saa tisa, kuamkia leo
Habari zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakuijia
Hujui kitu unapiga kimya. Zilla hatumii madawa. Mimi namjua in & out nilikua naishi near shule ya Green Acres. Na chimbo tulikua naye sana. Alikua ni mgonjwa. Na hata kufariki alifia home. Wakadhani amezimia, wakamkimbiza Lugalo. Madaktari wakasema alishakata moto muda mrefu kabla hata hawajamfikisha hospitali.Kuna kipindi ni kama alitaka kuchizi kidg..naskia aliachwa na demu wake sijui..bas akawa anaropokwa maneno ya ajabu ajabu...ila mie naamni ni madawa ya kulevya...jaman kama kipaji jamaa alikua nacho
wee kumbe hajawah tumia madawa ya kulevya!Mwenyezi Mungu amrehemuHujui kitu unapiga kimya. Zilla hatumii madawa. Mimi namjua in & out nilikua naishi near shule ya Green Acres. Na chimbo tulikua naye sana. Alikua ni mgonjwa. Na hata kufariki alifia home. Wakadhani amezimia, wakamkimbiza Lugalo. Madaktari wakasema alishakata moto muda mrefu kabla hata hawajamfikisha hospitali.
Amin rabil alamin!wee kumbe hajawah tumia madawa ya kulevya!Mwenyezi Mungu amrehemu
Steve Nyerere vipi keshafika msibani?
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Afu ckuhz mbona kuna unafiki mnapenda kuuendeleza wa kusema watu vibaya pindi mtu anapofariki..yaani ckuhz msanii akifariki utaskia sjui kina flani walikuwa wanamshusha sjui kina nani walimfanya hivi...acheni unafiki..wote tutakufa na kutofautiana ktk maisha ya kila cku ni vitu vya kawaidaNilitamani siku moja nije nisikie jinsi game inavyochange remix labda ungeweza kuonesha hisia zako halisi!!
Najua huwezi kuona ila hata wale waliokuwa wanapambana kukuangusha kimuziki/kimaisha nao wamefika salasala kukuaga bro!!