TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Nazidi kuikumbuka Tanzania ya Nyerere ambapo makabuli yalikuwa machache yani tofauti kabisa na sasa ambapo kila kona kuna makabuli,pia ilikuwa sio kawaida kuona kijana mdogo amefaliki kwa magonjwa tulizoea kuona sisi vijana tukizika wazee ila sasa baada ya miaka mingi kibao kimenigeukia tena yani wazee ndio tunazika vijana sasa

Apumzike kwa amani,wazazi wake(kama wapo) mungu awape wepesi katika wakati huu maana uchungu wa kuzika mtoto naujua...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu hapo umekosa kikufahamu ama kwa kujua au kutoajua...
Iko hivi tangia zamani vijana wanakufa kila siku sema tu aliyekufa hapo ni mtu maarufu kidogo ndio imekufanya utambue kuwa vijana wanakufa sana... ila mtaani daily tunazika na pia tutazikwa...
MUNGU PEKEE NDIE AJUAYE SIRI YA KIFO...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mhhh ngumu sana beef
Ni ngumu siku Niko nje nasogoa nasikia mama angu akipiga ukunga ndani kukimbilia nilimkuta baba yupo kitandani amekata kauli , nilishindwa kula walla maji kupita kwa muda wa wiki nilifanya kulazimishwa lakini hali ya siku ile ni tofauti na hali ya sasa niliyonayo Mungu ni mwema hutupitisha kwenye wakati mgumu na anajua namna yakutupa subra na kutuondolea maumivu tofaut na Hapo dunia ingejaa vilio Kila kona vya wapendwa wao.
 
ingia google tafuta nyimbo inaitwa salasala ndio utamjua zilla alikuwa nani...
Mtaani tunaishi kama maninja
Ukizingua dakika mbili washakunjinja
Kuna mabrazem pia mapedeshee
Kwenye kona pale stand kuna internet cafee
Ma hardcore wamejazana usiseme
Allstars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme
Maisha kuwindana sio peace kama heaven
Machizi wanawindana na mAK47
Kuishi kufanyiana sio kuwekeana vitisho
Ni swala la kawaida kuckia milio ya pisto
Uwa namshukuru kila siku inapokwenda
Na haiwez kupita siku bila kuibukiwa na difenda
Watu wa huku toka zamani wanaroho za kimasta
Kila siku ni skendo nyumba za watu zimepigwa chata
Mahustle ndo wanaisho vip
Na waliokufa nigga tushawapa R.I.P
Kila siku watu busy kama NYC
Hatuna back kwenye hood kama g ali
Salasala is my hood for show
Ni place ambayo sijawahi kuwabefore.........

Hii Verse ilikuwa balaa enzi hizo sala sala ya green acre kipindi hicho

RIP ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sikumbuki.kama amewah toa nyimbo mbaya..alaf alikua ana color moja hatari tupuuuuu arghhh
Huyu hajasikiliza NATAKA, Jinsi Game alioimba na Madee, pia kashirikishwa kwenye Mkono Mmoja Remix ya kina Chege, kuna ule waimbaga "Jinsi Tulivyo, watu wanakaa, KingZila KingZila ni balaa, everybody know",...., etc. Kifupi huyu jamaa hana nyimbo mbaya
 
Week iliyopita tu niliwachana wasanii flan hapa dar kuwa zilla angekomaa, kaligraph jonez angelilia kolabo na zizi. Huyu jamaa alikuwa na flow za marekani huko. R.I.P.
 
Kuna kitu hapo umekosa kikufahamu ama kwa kujua au kutoajua...
Iko hivi tangia zamani vijana wanakufa kila siku sema tu aliyekufa hapo ni mtu maarufu kidogo ndio imekufanya utambue kuwa vijana wanakufa sana... ila mtaani daily tunazika na pia tutazikwa...
MUNGU PEKEE NDIE AJUAYE SIRI YA KIFO...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi umeshazikwa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaani tunaishi kama maninja
Ukizingua dakika mbili washakunjinja
Kuna mabrazem pia mapedeshee
Kwenye kona pale stand kuna internet cafee
Ma hardcore wamejazana usiseme
Allstars zimeanikwa juu ya nyaya za umeme
Maisha kuwindana sio peace kama heaven
Machizi wanawindana na mAK47
Kuishi kufanyiana sio kuwekeana vitisho
Ni swala la kawaida kuckia milio ya pisto
Uwa namshukuru kila siku inapokwenda
Na haiwez kupita siku bila kuibukiwa na difenda
Watu wa huku toka zamani wanaroho za kimasta
Kila siku ni skendo nyumba za watu zimepigwa chata
Mahustle ndo wanaisho vip
Na waliokufa nigga tushawapa R.I.P
Kila siku watu busy kama NYC
Hatuna back kwenye hood kama g ali
Salasala is my hood for show
Ni place ambayo sijawahi kuwabefore.........

Hii Verse ilikuwa balaa enzi hizo sala sala ya green acre kipindi hicho

RIP ....

Sent using Jamii Forums mobile app
mchizi ana swaga flan tamu sana kwenye rap.....kama 50 hivi but ndo hivyo tena sasa hivi Bill Nas atakua huru sana
 
Back
Top Bottom