Uchaguzi 2020 Msanii HARMONIZE aachia wimbo matata wa kampeni CCM

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?

Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.


"Maendeleo hayana chama"
 
Huo wimbo upo wapi
 
Aliyekuambia sisi tunategemea wasanii ni nani? LISSU TU ANAWATOSHA.
 

Huyu enzi za ndoto zake za mziki yawezekana alikuwa shabiki wa Msaga Sumu
 
Ni jambo jema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…