Uchaguzi 2020 Msanii HARMONIZE aachia wimbo matata wa kampeni CCM

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?

Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.

"Maendeleo hayana chama"
 
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika? Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.

"Maendeleo hayana chama"
Huo wimbo upo wapi
 
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?

Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.

"Maendeleo hayana chama"

Aliyekuambia sisi tunategemea wasanii ni nani? LISSU TU ANAWATOSHA.
 
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?

Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.

"Maendeleo hayana chama"

Huyu enzi za ndoto zake za mziki yawezekana alikuwa shabiki wa Msaga Sumu
 
Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?

Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.

"Maendeleo hayana chama"

Ni jambo jema!
 
Back
Top Bottom