Uchaguzi 2020 Msanii HARMONIZE aachia wimbo matata wa kampeni CCM

Haya uchaguzi ndiyo huo CCM wameshapata mrithi wa John Komba, CHADEMA nyie mnampango gani au mnasubiri kampeni zianze ndiyo muanze kupaparika?

Mkikuta wasanii wote wapo booked ndiyo muanze kutafuta mchawi.

Leo msanii harmonize ameachia wimbo matata kwa ajili ya kampeni za CCM mwaka huu 2020.

"Maendeleo hayana chama"

Daaah..., Bonge la wimbo. Ni mkali balaa
 
Jeneza lake la kupotea kimuziki ndio linapigiliawa msumali wa mwisho Sasa.

RIP Harmonize.
 
Back
Top Bottom