Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

Tetesi: Msanii Harmonize ameachwa na socialite Poshy Queen

Wajuzi wa mambo wanasema maisha hayana formula ,inawezekana Kuna kaukweli ndani yake hata Kama sio Kwa asilimia Mia basi angalau tisini na Tisa pointi Tisa tisa yaani 99.99%.

Konde boy na yeye pia atakuwa mzamzi.Huyu posh wa mitandaoni na yule anayeishi kwenye familia yake ni watu wawili tofauti kimatendo na kitabia.Familia yao ni watu wa dini kweli kweli pamoja na kubarikiwa kiuchumi hasa mzee.....itaendeelea
 
Mahusiano ya harmonize maarufu kwa jina la Konde boy na socialite Poshy Queen yanaonekana kuvunjika na mwanadada huyo ameonekana kuwa na mwanaume mwingine kwenye club night moja. Dalili za kuachana kwao imeanza mapema baada ya kuunfollow kila mmoja wao.

Una mshauri vipi bwana Kondeboy kwenye mahusiano ukizingatia alishatangaza hadi tarehe ya ndoa ya kumuoa mrembo huyo na kwasasa mambo yameshavunjika na kijana kagharamia sana huyu mrembo.
Mjini shule.
 
Yaani kuna couple ukisikia wamepigana kibuti hushangai, Wozu na Wema,Konde na Posh,Aunt na Kusa nk.Yaani hushangai sababu unategemea lazima watapigana kibuti.

Naona uzuri haina makombo mwana mwengine anaisubiria na Konde anatafuta zigo jingine asuuze rungu. Halafu kuna fala anatokea anaenda kutoa mahali ili amuoe Posh,halafu anaanza kuleta wivu.
 
Mtoe Aunt kwenye hilo list yule dada hangaliagi hela ndio maana mahusiano yake yanadumu wengi anaotoka nao sio wenye hela
 
Mtoe Aunt kwenye hilo list yule dada hangaliagi hela ndio maana mahusiano yake yanadumu wengi anaotoka nao sio wenye hela

Yaani mahusiano ya Ant Ezekiel Yanadumu? Kivipi yaani?

Jack pemba
Diamond
Moze iyobo
Huyo kusah sijui wa kumi na ngapi?
 
Yaani mahusiano ya Ant Ezekiel Yanadumu? Kivipi yaani?

Jack pemba
Diamond
Moze iyobo
Huyo kusah sijui wa kumi na ngapi?
Mahusiano yakiwa kuanzia miaka 3 kuendelea ndio tuna term kwamba yanakaa kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom