Msanii Harmonize (CCM) aomba Internet kuachiwa ili aachie wimbo mpya

Internet inarudisha hatua za kuleta maendeleo na tulishasikia Jiwe akiomba malaika wafunge mitandao yote.

Nafikiri Malaika wameskia kilio chake na ninaamini kuna siku atapewa kazi ya kuwafagilia Malaika 😁😁
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole na hatimae yamehamia kwa misukule ya Lumumba!!

Hata misukule iliyojaa hapa JF inaona aibu kusema ukweli lakini na yenyewe inaumia , tena vibaya sana!!

Halafu wanatokea mazuzu wengine wanapinga tunaposema Jiwe ni Dikteta manake Madikteta yote yote duniani, katika dunia ya leo moja ya mambo ambayo hukimbilia kuyafanya ni ku-destablize social media kwa sababu adui yao mkuu ni sauti za watu!!

Mimi nasema hivi, NA BADO... Jinga sana nyie watu!!
 
Kama intaneti inasumbua mbona yeye ameweza kupost.?
 
Namba yang hapo kwenye ubao inasomwa
 
Tunahitaji wazee kama nyie mkemee ushabiki maandazi.
Safi sana Mzee.
 
We mmakonde hizo Caption zako huko Istagram usiandike kwa herufi kubwa zinakua hazina mvuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…