Msanii Harmonize (CCM) aomba Internet kuachiwa ili aachie wimbo mpya

Msanii Harmonize (CCM) aomba Internet kuachiwa ili aachie wimbo mpya

Msanii maarufu ambaye alitikisa Katika kampeni za CCM akiwa na nyimbo kadhaa za kukinadi chama, ameomba internet kuachiwa ili aweze kuachia wimbo wake mpya.

Tulishaiweka CCM madarakani Sasa na muda wa kuisoma namba wote kwa pamoja.View attachment 1617960
Kwani urafiki wake na Jiwe umeisha baada ya uchaguzi? Amtumie tu sms amfungulie mtandao.
 
Waifunge tena hasa kwenye mitandao ya kijamii.

Waiachie kwenye mambo mengine.
 
Wafunge hadi search engine ya Google ili akili za Watanzania zikae sawa.
Wafunge hata kupiga simu kwa miezi 6 tu kama hujasikia polepole akitoka mafichoni
Hivi unajua ikitokea hivyo wewe na hiyo Bima yako mtakuwa hoi bin taabani?
 
Nimkumbushe tu huu ni mwanzo tuna miaka 5 fresh. Zoezi la kuzima litaendelea Mara kwa Mara.
 
Mpaka nashtuka,ina maana mimi situmii internet, konde boy bhana.
 
Kwani kuna tatizo la intaneti ? Acha mambo yawe hivi hivi, sisi tunataka maendeleo sio brah brah
 
CCM endelea kuzuia internet hivyo hivyo ili nyimbo za ngono ngono za hawa wasanii wa hovyo hovyo zipunguze kusikika huku mtaani.
 
Kwani huo ushamba kaupost vipi? Mbona internet ipo vizuri tu
Wewe jamaa utakuwa ni ccm, yaani umeshindwa kuelewa huyo dogo anacholalamikia? Kwanini fisiemu mnakuwa na uelewa fingu kiasi hiki????
 
Msanii maarufu ambaye alitikisa Katika kampeni za CCM akiwa na nyimbo kadhaa za kukinadi chama, ameomba internet kuachiwa ili aweze kuachia wimbo wake mpya.
Tulishaiweka CCM madarakani Sasa na muda wa kuisoma namba wote kwa pamoja.View attachment 1617960
Watu wamejiajiri online business,baada ya kukosa ajira unakuja kublock Internet tena,kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa
 
Wafunge hata miezi 6?! Simu hizi hizi zinazosababisha kuongezeka mimba mashuleni halafu unashauri zifungwe hata miezi 6?! Zifungwe tu moja kwa moja ili pesa tunazotumia kununua vocha tuzipeleke kwenye pembejeo
Kuna mmoja kashauri wazime na jua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo kwanza trailer, yeye anaweweseka akati movie enyewe bado lol.
 
Back
Top Bottom