Msanii Harmonize (CCM) aomba Internet kuachiwa ili aachie wimbo mpya

Msanii Harmonize (CCM) aomba Internet kuachiwa ili aachie wimbo mpya

Maumivu ya kichwa huanza polepole na hatimae yamehamia kwa misukule ya Lumumba!!

Hata misukule iliyojaa hapa JF inaona aibu kusema ukweli lakini na yenyewe inaumia , tena vibaya sana!!

Halafu wanatokea mazuzu wengine wanapinga tunaposema Jiwe ni Dikteta manake Madikteta yote yote duniani, katika dunia ya leo moja ya mambo ambayo hukimbilia kuyafanya ni ku-destablize social media kwa sababu adui yao mkuu ni sauti za watu!!

Mimi nasema hivi, NA BADO... Jinga sana nyie watu!!
Hatari sana
 
Back
Top Bottom