Kwani urafiki wake na Jiwe umeisha baada ya uchaguzi? Amtumie tu sms amfungulie mtandao.Msanii maarufu ambaye alitikisa Katika kampeni za CCM akiwa na nyimbo kadhaa za kukinadi chama, ameomba internet kuachiwa ili aweze kuachia wimbo wake mpya.
Tulishaiweka CCM madarakani Sasa na muda wa kuisoma namba wote kwa pamoja.View attachment 1617960
Hivi unajua ikitokea hivyo wewe na hiyo Bima yako mtakuwa hoi bin taabani?Wafunge hadi search engine ya Google ili akili za Watanzania zikae sawa.
Wafunge hata kupiga simu kwa miezi 6 tu kama hujasikia polepole akitoka mafichoni
Wabonyeze kidude cha kufungua internet kwenye yale makofia waliyovalishwa jukwaani.Atumie tu hio hio VPN
#tunaisomanamba
Wewe jamaa utakuwa ni ccm, yaani umeshindwa kuelewa huyo dogo anacholalamikia? Kwanini fisiemu mnakuwa na uelewa fingu kiasi hiki????Kwani huo ushamba kaupost vipi? Mbona internet ipo vizuri tu
Watu wamejiajiri online business,baada ya kukosa ajira unakuja kublock Internet tena,kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaaMsanii maarufu ambaye alitikisa Katika kampeni za CCM akiwa na nyimbo kadhaa za kukinadi chama, ameomba internet kuachiwa ili aweze kuachia wimbo wake mpya.
Tulishaiweka CCM madarakani Sasa na muda wa kuisoma namba wote kwa pamoja.View attachment 1617960
Kuna mmoja kashauri wazime na juaWafunge hata miezi 6?! Simu hizi hizi zinazosababisha kuongezeka mimba mashuleni halafu unashauri zifungwe hata miezi 6?! Zifungwe tu moja kwa moja ili pesa tunazotumia kununua vocha tuzipeleke kwenye pembejeo