Maumivu ya kichwa huanza polepole na hatimae yamehamia kwa misukule ya Lumumba!!
Hata misukule iliyojaa hapa JF inaona aibu kusema ukweli lakini na yenyewe inaumia , tena vibaya sana!!
Halafu wanatokea mazuzu wengine wanapinga tunaposema Jiwe ni Dikteta manake Madikteta yote yote duniani, katika dunia ya leo moja ya mambo ambayo hukimbilia kuyafanya ni ku-destablize social media kwa sababu adui yao mkuu ni sauti za watu!!
Mimi nasema hivi, NA BADO... Jinga sana nyie watu!!