Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

Shida ninini? Kwamba Konde amefika tu akaanzisha ugomvi? Kuna utaratibu alitakiwa kufuata akakataa?

Hata hivyo ni msanii wetu mkubwa, wangemtreat vizuri apite aende aendako, inaonekana kuna dharau wamemfanyia.

Naye apunguze bangi na uhuni, kwenye situation kama hiyo wala hakutakiwa kugombelezea na kurusha ngumi, alitakiwa akae pembeni hao aliowaajiri PA's na Mabaunsa wake washughulikie utaratibu.
 
Hiyo akili ana huyo andunje ni mshamba sana
 
hao mabaunsa mbona kama wanamtegea boss wao apigwe kwanza ndio wamlinde, yani mabodigadi yote hayo bado boss anakunja nae ngumi
 
Hamo ni fala na mshamba wa umaarufu tu, anagombelezewa yeye ndio anapata bichwa kutaka ugomvi ukue zaidi. Kila anayemshika anamkataa na kutaka kumshambulia...
Yeye kama alitaka au alipanga kuhamasisha mashabiki waliojaa uwanjani washangilie angekaa chini kabla ya mpira kuanza ili iwe wepesi kuingia ground.
 
Nani ana simu mbayaaa hivi , inarekodi hovyo, bora asingerekodi.
La pili, ifikie hatua hawa wakina harmonize waajiri watu waliofuzu Usimamizi wa watu, bodyguards wenye sifa nyingi za ulinzi hata wenye belts. Maana wengi wa wasanii wakubwa wanaowaiga kuwa na mabodyguard wenzao hawachagui mbagu tu hao wa kupendezesha milango ya club. Wanachagua watu wazito, ukitimba unayatimba haswa. Huyo jamaa hata kama ni suma jkt ni mchumba sana kuchezea 18 za harmonize, hakutakiwa kufika hata karibu kusikia perfume yake. Harmonize anajikosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…