Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

Vitu vingine ushamba tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale busara inaposhindwa kuwaongoza watu, ndipo mambo ya kurushiana ngumi hutokea.

Ndiyo maana wanasema ukialikwa vyema ukaketi viti vya nyuma ili kama utahitajika ukaketi mbele uitwe, lakini sio ukae mbele alafu utakiwe urudi nyuma.
Aibu plus[emoji3][emoji3][emoji3]
 
hao mabaunsa mbona kama wanamtegea boss wao apigwe kwanza ndio wamlinde, yani mabodigadi yote hayo bado boss anakunja nae ngumi
Mkuu angalia hio stuation usilaumu Bodyguard, jukumu la Bodyguard kumlinda asifikiwe na attach kwenye normal condition Sasa Hapo Harmonize yupo kwenye condition ya ugomvi tena kinyume na sheria na unaona ana dunk muda wote kutaka pigana, baunsa akimpiga mtu hapo Ni kosa
 
Pole yao sana...

Hahaha... Sky Eclat pitia hapa usikilize sauti ya huyo mwanamke alafu niambie inafanana na ya nani...
Hahahaha...


Your browser is not able to display this video.
 
Pale busara inaposhindwa kuwaongoza watu, ndipo mambo ya kurushiana ngumi hutokea.

Ndiyo maana wanasema ukialikwa vyema ukaketi viti vya nyuma ili kama utahitajika ukaketi mbele uitwe, lakini sio ukae mbele alafu utakiwe urudi nyuma.
Walikuwa wanamwambia akakae vvip yeye anataka viti vya mzunguko kwenye mashabiki wengi
 
Sasa yeye kalipia VVIP halafu mapumziko anataka kuhamia Mzunguko, naona hapo ndio ilipoanzia.
 
Zama zimebadilika siku hizi wasanii hufanya vituko to stay relevant na kupata trend.

Hapo lengo lake limefanikiwa, huko insta na mapage ya udaku kote atazungumziwa. Bullsh*t!!!
Kaachia na albam, mbinu za ku stay relevant.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…