Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Watu wanarank namba moja kwa hisia /ushabiki bila kuangalia vitu mbalimbali true Harmo yuko juu ila sio kiasi tuseme kampita Mondi. Harmo akiongeza juhudi atamfikia hata kumpita ila ndio apambane Haswa
 
Mkuu usilazimishe kila mtu akubali unachokiamini music ni kama siasa kila mtu ana wafuasi wake....hata harmorapa naye akitoa video itaangaliwa na kuna watu wataipenda na wannamuelewa kuliko msanii yeyote so kama wewe una amini Diamond nni namba moja sawa ammini hivyo lakini usitake kila mtu akubaliane na wewe.

Halafu pia kwanini ikitokea watu wakasema fulani ni namba moja nje ya WCB huwa hamtaki,? Maana naamini hata HARMONIZE kama angelikua WCB kwa anayoyafanya umngetamba sana na kumsifia.

Pia kubali kataa kwa sasa Diamond amebakiza jina lakini graph ya utunzi inashuka chukua ngoma alizotoa Diamond kunazia baba lao,jeje,Sound na fananisha Hujanikomoa hizo zote zinamezwa hapo maana ni wimbo unaoimbika na unaweza sikiliza ukafeel kitu.Ukija heshima nayo hivyo hivyo kijana anapush mziki wake bila kiki wala matukio ya ajabu.

Mwisho Diamond ni mkubwa kwenye huu Muziki lakini kwa sasa Mmakonde anafanya vizuri zaidi.Na nina kuhakikishia hii album ya konde itampeleka mbali Subscribers watongezeka youtube na viwersna hata thamani itakua kubwa kwake,kwanza iko blessed na watu wote mpaka huyo diamond ameibless.
Roho mbaya hapo ipo wapi?uwezi ukamwita mtu number 1 ikiwa anazidiwa vitu vingi na mtu mwingine labda ajitahidi awe number 1 hapo ndo ningemuelewa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiliza hapa hyo album yake kingereza kama chote mmakonde! Sijui hzi ngoma kawatolea west africa huko!

Sasa aliponichosha kwenye remix ya never give up!

Binafsi nmekoshwa zaid na hii remix..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…