Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Hongera kwake! Tunahitaji wasani wetu wawe matajiri kupitia muziki kama wasanii wa DR Congo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kuziskiliz nyimbo zk Atarudi au Niambie?Anaimbaga nini?sijawahi kumwelewa
Njia pekee ya kumsapoti msanii ni kununua kazi zake kwenye platforms mbalimbali zinazouza mziki na kuhudhuria show zake.Hongera kwake! Tunahitaji wasani wetu wawe matajiri kupitia muziki kama wasanii wa DR Congo.
Kabisa kabisa mkuu. Sisi watu weusi hasa wabongo ni wangese sana. Binafsi nitamuunga mkono kwa kuinunua. Na hiyo hata iwe Kiba au Diamond nita show love.Njia pekee ya kumsapoti msanii ni kununua kazi zake kwenye platforms mbalimbali zinazouza mziki na kuhudhuria show zake.
Tatizo sisi wabongo kazi za wasanii hatununui tunapenda vya bure,tunasubiria djmwanga,kidebwoy aweke sisi tupakue bire.
Hii album unaweza ukakuta kuna mpuuzi mmoja anainunua online alafu anaiweka kwenye account yake Youtube watu wanaipakua free.
Mbona Hance Mtanashati nimemuona?!
Ii event sijui kwa nini aija pata kuzungumziwa sana JF na mtandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
😷 Cc MsagasumuHayawi sasa yamekuwa.. Yule msanii Mwenye Mwili kama Pipaa.. Anayejiita Jeshi, ila watanzania wakasema hapana, wewe ni Tembooo.. hatimae kesho atazindua rasmi Album yake ndani ya viwanja vya mlimani City..
Mliopata mwaliko msisite kutupa updates iyo kesho...
Uzi ni mzuri baada ya hii comment unatafuta kuchafua Hali ya hewaHarmonize amekuwa Msaanii number moja Tanzania kwa sasa...konde boy for everybody
Huo ndio ukweli mkuuUzi ni mzuri baada ya hii comment unatafuta kuchafua Hali ya hewa
Utakuaje no 1 ikawa huna mashabiki wengi mfano mzuri tukio lake hili ni kubwa halijatred kabisa limekosa Kiki, utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina viewers kubwa Kama nyimbo diamond?utakuaje no 1 ikiwa huna show nyingi na zenye ukubwa kuzidi diamond? utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina manunuzi Kama ya nyimbo za diamond?utakuaje no 1 ikiwa ufanyi vizuri international zaidi ya diamond?Huo ndio ukweli mkuu
Anaelekea huko ktk maisha hamna kinachoshindikana as long unajituma.Always number 1 ipo kwa wanaojituma.Utakuaje no 1 ikawa huna mashabiki wengi mfano mzuri tukio lake hili ni kubwa halijatred kabisa limekosa Kiki, utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina viewers kubwa Kama nyimbo diamond?utakuaje no 1 ikiwa huna show nyingi na zenye ukubwa kuzidi diamond? utakuaje no 1 ikiwa nyimbo zako hazina manunuzi Kama ya nyimbo za diamond?utakuaje no 1 ikiwa ufanyi vizuri international zaidi ya diamond?
Kweli Mkuu nami nimekubali jamaa yupo vizuri sana.Harmonize anajua, ametulia sana