Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Sasa unalia nini? Kama yeye kasema ni namba moja huwezi kuibadilisha kuwa namba mbili.

Show nzima imesifiwa. Kumzima konde kazi sana. Poleni
Roho mbaya hapo ipo wapi?uwezi ukamwita mtu number 1 ikiwa anazidiwa vitu vingi na mtu mwingine labda ajitahidi awe number 1 hapo ndo ningemuelewa jamaa
 
Sasa unalia nini? Kama yeye kasema ni namba moja huwezi kuibadilisha kuwa namba mbili.

Show nzima imesifiwa. Kumzima konde kazi sana. Poleni
Siwezi kulia na me honest namkubali Sana harmonize na show yake na maandalizi yote aliyofanya was fantastic hivyo ndo msanii mkubwa uwe hivyo ingawa kwenye live band ni tatizo kwa wasanii wengi bongo.My point harmonize bado si number 1 ni number 2 ila akiongeza juhudi Sana atafika number 1 hapa tunaongea facts sio hisia au chuki ili uwe number 1 unatakiwa uwe best kwa maeneo mengi ikiwemo kuwa mashabiki wengi kushinda msanii yoyote,kazi zako kununuliwa Sana kuliko msanii yoyote,kupata show nyingi na kubwa kuliko msanii yoyote,kufanya vizuri international kuliko msanii yoyote hiv ndio vitu vinavyo define mtu kuwa number 1 je harmonize ana hizo sifa nilizoandika hapo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hatuna namba moja kwenye muziki tuna kajanja aliyewanywesha unga wa ndele misukule yake ikampachika namba moja. Namba moja gani hayupo kwenye tuzo kubwa kubwa,namba moja gani muziki wake haupo kwenye orodha ya muziki mnene kule billboard. Namba moja anakosa kodi ya pango pale wasafi mpaka boss kubwa anatoa makazi ya akiba.

Kubwa kuliko,namba moja anayetegemea kiki za mapenzi kila kukicha bwahahahaha. Harmo kimbiza hawa dogs in shishi's voice

Me nimezungumzia mziki si nje ya mziki lakini maswali yangu umeshindwa kunijibu nimekuambia ili harmo awe number 1 anatakiwa nyimbo zake ziuze kuliko nyimbo za diamond, awe na show nyingi na kubwa kuliko diamond,nyimbo zake ziwe na viewers wengi kuliko diamond,awe balozi wa kampuni nyingi na kubwa kuliko diamond,awe ana hit kubwa nyingi kuliko diamond, tofauti na hapo uwezi kuwa number 1 Tz.
 
Sasa mfuasi wa domo kila kitu ushaaminishwa ni cha domo hata mtu akikupa ufafanuzi huwezi muelewa. Pole sana una safari ndefu

Me sio mfuasi wa msanii me ni mpenzi wa mziki wewe unaongea kwa kutumia hisia zaidi kuliko facts me nimejikita kwenye mziki wewe umenijibu nje ya muziki
 
Kama million 350 watu wametoa kwa siku 2 tu kwa mbowe [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo 500 anakosaje mtu mmoja hv dimpoz hamuonagi zile kufuru zake unazani anashilingi ngapi maana kila siku yupo nje mara Manchester ndege anapanda first class watu wanahela nyie msiwachukulie poa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulipomtaja Dimpoz nmeishia kucheka lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom