wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
wahi mapema aiseee viwanja bado bei sio juu sana kuanzia m3 m4 na kuendelea bei maelewano tu.Viwanja sh ngapi kwa sasa huko chamazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahi mapema aiseee viwanja bado bei sio juu sana kuanzia m3 m4 na kuendelea bei maelewano tu.Viwanja sh ngapi kwa sasa huko chamazi?
OK, Huo mtaa wa magengeni naweza kupata?? Au vipo kule mbele karibu na mmbande?wahi mapema aiseee viwanja bado bei sio juu sana kuanzia m3 m4 na kuendelea bei maelewano tu.
Ni punguani na mwendawazimu pekee ndie awezi kunielewa, mwenye akili timamu pekee ndiye anaeweza tambua thamani ya ujumbe huu. Mtaani kwako hapo uswahilin ni wangapi wanauza madawa na umeshindwa kutoa taarifa sehemu husika? Je unajua kazi yangu we mpuuzi, kwa taarifa yako nailisha familia yangu na kumudu maisha ya hapa jijin kwa kazi hii.Kama mleta mada ni mwanamke basi tutaangalia nyuma ya ubongo wake huyo mtafit inawezekana ana chuki naye ukizngatia wasanii weng wa kiume wakipata umaarufu kidg tu lazma wawapitie sana viunoni,lakn kama ni mwanaume inawezekana aligongewa.haiwezekan kwa akili yko ya kibnadamu unaacha shuguli zako na kufuatilia maisha ya mtu kwnza ni hatari kwa maisha yko yajayo maana mara nying tabia za ujanan zinasafiri had uzeeni..jaman tuwe makin wapendwa kwn sicho kilichotuleta dunian..
hahahahaha hiii kisa mbona kina rambo na shwaznega wanaheshimika? uwii nimecheka sana aiseeKuwa tu muhusika wa tasnia ya filamu Tanzania ni aibu.
Wew kam upendi kufuatilia maisha ya watu huku celebrities forum umefuata nini? Nyinyi ndio mnaishi maisha ya maigizo huko mitaani hata kitanda cha kulalia huna alafu unajiita staa Bongo. Kuna ujumbe mkubwa sana katika taarifa yangu, mhusika anauza madawa na taarifa zimeisha fika sehemu husika na hatua za kisheria zinakwenda kuchukuliwa. Sijaishia kupost tu mbali hatua Kali kwa mhusika zitachukuliwa.Cku zote wanaofuatilia maisha ya watu ni nadra sana kufanikiwa lakn ni vyema tukiwa kama bnadamu tukaacha vle vtu vlivyowafanya wengi wawe masikini,..mtu mwenye malengo yaliyobeba ndoto za kufanikiwa huwez ukaacha shughuli zako na kuamua kumfuatilia mtu,.kwa vle nilivyomuelewa mm anadai kuna siku alikwenda yeye kama yeye kwa kazi hyo tu ya kumchunguza huyo mtu na akagundua mambo mengi tu jui ya huyo msanii ,sasa inakuwaje mtu unapoteza muda kwa kufuatilia habari za mtu mwingne,.ndgu zngu mnaoamin uwepo wa Mungu na malipo yke cku ya mwsho ambyo mnaamin ipo hautaulizwa maisha ya jirani yko bali utaulizwa maisha yko mwenyewe,kuchunguza maisha ya mtu ni kanuni ya kupata umasikini uliotukuka.
Kenge wewe, kama wew sio mmbea umefuta nini hapa? Mijitu nyie ndio mnao tupa shida na kuturudisha nyuma. Kwa hiyo biashara ya madawa ina mhusu nani? Kwani vita hii ya madawa na Ujinga wa mastaa wetu na umarufu wa kwenye mitandao wakati maisha yao magumu tutaifikia Tanzania ya Viwanda?UO NDIO UMBEA WENYEWE HUO ASA MAISHA YAKE WEWE YANAKUHUSU NINI...? FUMBA MACHO ENDELEZA MAISHA YAKO ACHA KABISA TABIA YA KUFUATILIA MAISHA YA WENGINE
Na Siku zote nashinda na sijawah kushindwa.Vita vyako utashinda mwenyewe.
Kwani we nani na unatafuta nini huku? Nimesema mpuuzi na puanguani pekee ndie hawezi kunielewa. Shika adabu yako bwana mdogo.Kawatshe wasiojielewa wenzako kama wewe,.wewe mwenyew hujui mm nan na nafanya nn,kama unafanya kazi ya TISS kuna utaratbu wake wa kutoa report za namna hyo na si kama ulivyotoa wewe humu,
acha kuwa na akili za mwendo kasi sasa humu kuna wanausalama? si uwape mchongo askari waje kumkamata...acha ufala mtoto wa kiume hawezi kufatilia biashara za mwanaume mwenzie au mwenzetu sio riziki niniKenge wewe, kama wew sio mmbea umefuta nini hapa? Mijitu nyie ndio mnao tupa shida na kuturudisha nyuma. Kwa hiyo biashara ya madawa ina mhusu nani? Kwani vita hii ya madawa na Ujinga wa mastaa wetu na umarufu wa kwenye mitandao wakati maisha yao magumu tutaifikia Tanzania ya Viwanda?
kama kwa kazi ya umbea usio na tija unailisha familia yako hongera ila umbea si sifa kwa mtoto wa kiume.Ni punguani na mwendawazimu pekee ndie awezi kunielewa, mwenye akili timamu pekee ndiye anaeweza tambua thamani ya ujumbe huu. Mtaani kwako hapo uswahilin ni wangapi wanauza madawa na umeshindwa kutoa taarifa sehemu husika? Je unajua kazi yangu we mpuuzi, kwa taarifa yako nailisha familia yangu na kumudu maisha ya hapa jijin kwa kazi hii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] siwezi kuendelea kujibizana na mtoto humu, kazi yako kubwa kula na kulala basi. Mpaka sasa bado unalalia kilago cha Baba yako hapo sebuleni. Nenda kapikia watoto chakula cha jioni na kuosha vyombo ndio kazi yako.kama kwa kazi ya umbea usio na tija unailisha familia yako hongera ila umbea si sifa kwa mtoto wa kiume.
sawa ila mimi nakuchukulia kama mtu mzima usie jielewa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] siwezi kuendelea kujibizana na mtoto humu, kazi yako kubwa kula na kulala basi. Mpaka sasa bado unalalia kilago cha Baba yako hapo sebuleni. Nenda kapikia watoto chakula cha jioni na kuosha vyombo ndio kazi yako.
Ukiongea na wazee wa hapa unapata tu. si unajua ?OK, Huo mtaa wa magengeni naweza kupata?? Au vipo kule mbele karibu na mmbande?
Ntakuja weekend aisee!! Kimara ni milima halafu Kuna shida ya maji mno!Ukiongea na wazee wa hapa unapata tu. si unajua ?
Pia unawaza kutafuta kule karibu na shule ya sec chamazi. au kulekea kule Saku Ilulu.viwanja vipo na maeneno mazuri kabisa. sio mnaenda kuishi Kimara kwenye milima na nia mbaya kisa mnasema ni karibu na mji
Sikiliza kijana Mimi umri wangu ni sawa baba yako lazima uwe na heshima. Kazi ya kupambana na madawa ya kulevya sio ya Magufuli pekee jamii yote inahusika. Kama biashara halali nifuatilie ya nini? Na kuitoa humu ni kama fundisho kwa nyinyi mnaoishi maisha ya maigizo. Kwa mfano wew hapo mpaka sasa huko kwenu unakula ugali wa Baba yako, kufanya kazi hutaki, unakesha kwenye mitandao kupost vipicha vya kipuuzi eti staa.acha kuwa na akili za mwendo kasi sasa humu kuna wanausalama? si uwape mchongo askari waje kumkamata...acha ufala mtoto wa kiume hawezi kufatilia biashara za mwanaume mwenzie au mwenzetu sio riziki nini