Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

Msanii huyu anaitia aibu tasnia ya filamu

Kama mleta mada ni mwanamke basi tutaangalia nyuma ya ubongo wake huyo mtafit inawezekana ana chuki naye ukizngatia wasanii weng wa kiume wakipata umaarufu kidg tu lazma wawapitie sana viunoni,lakn kama ni mwanaume inawezekana aligongewa.haiwezekan kwa akili yko ya kibnadamu unaacha shuguli zako na kufuatilia maisha ya mtu kwnza ni hatari kwa maisha yko yajayo maana mara nying tabia za ujanan zinasafiri had uzeeni..jaman tuwe makin wapendwa kwn sicho kilichotuleta dunian..
Ni punguani na mwendawazimu pekee ndie awezi kunielewa, mwenye akili timamu pekee ndiye anaeweza tambua thamani ya ujumbe huu. Mtaani kwako hapo uswahilin ni wangapi wanauza madawa na umeshindwa kutoa taarifa sehemu husika? Je unajua kazi yangu we mpuuzi, kwa taarifa yako nailisha familia yangu na kumudu maisha ya hapa jijin kwa kazi hii.
 
Cku zote wanaofuatilia maisha ya watu ni nadra sana kufanikiwa lakn ni vyema tukiwa kama bnadamu tukaacha vle vtu vlivyowafanya wengi wawe masikini,..mtu mwenye malengo yaliyobeba ndoto za kufanikiwa huwez ukaacha shughuli zako na kuamua kumfuatilia mtu,.kwa vle nilivyomuelewa mm anadai kuna siku alikwenda yeye kama yeye kwa kazi hyo tu ya kumchunguza huyo mtu na akagundua mambo mengi tu jui ya huyo msanii ,sasa inakuwaje mtu unapoteza muda kwa kufuatilia habari za mtu mwingne,.ndgu zngu mnaoamin uwepo wa Mungu na malipo yke cku ya mwsho ambyo mnaamin ipo hautaulizwa maisha ya jirani yko bali utaulizwa maisha yko mwenyewe,kuchunguza maisha ya mtu ni kanuni ya kupata umasikini uliotukuka.
Wew kam upendi kufuatilia maisha ya watu huku celebrities forum umefuata nini? Nyinyi ndio mnaishi maisha ya maigizo huko mitaani hata kitanda cha kulalia huna alafu unajiita staa Bongo. Kuna ujumbe mkubwa sana katika taarifa yangu, mhusika anauza madawa na taarifa zimeisha fika sehemu husika na hatua za kisheria zinakwenda kuchukuliwa. Sijaishia kupost tu mbali hatua Kali kwa mhusika zitachukuliwa.
Kwamba mtu aendelee kuua nguvu kazi ya vijana mitaani tunamuacha kisa maisha yake?

Alafu ni msanii lazima maisha yake yafuatiliwe. Nimefuatilia wengi sana huyu cha mtoto, kama ukisikia jeshi la polisi limetia timu kwako ujue nimehusika Mimi, wengi nimewaweka ndani kwa upuuzi wa kuendelea kuaribu nguvu kazi ya taifa.
 
UO NDIO UMBEA WENYEWE HUO ASA MAISHA YAKE WEWE YANAKUHUSU NINI...? FUMBA MACHO ENDELEZA MAISHA YAKO ACHA KABISA TABIA YA KUFUATILIA MAISHA YA WENGINE
Kenge wewe, kama wew sio mmbea umefuta nini hapa? Mijitu nyie ndio mnao tupa shida na kuturudisha nyuma. Kwa hiyo biashara ya madawa ina mhusu nani? Kwani vita hii ya madawa na Ujinga wa mastaa wetu na umarufu wa kwenye mitandao wakati maisha yao magumu tutaifikia Tanzania ya Viwanda?
 
Acha kufuatilia maisha ya mtu bali fuatlia maisha yko na yale yote yanayoweza kuathiri jamii mfano jambo la madawa ya kulevya hapo upo sahihi lakini maisha mengne ya familia za watu c vzuri kuyazungumzia,kwanza kisheria ni kosa kuzungimzia maisha ya familia flan kwnza wewe cyo msemaji wa familia.cjakataa yote bali kwenye chumba cha maisha yke hayo kama ulikuwa na lengo la kumsaidia ungemwambia mwenyewe.yaan namaanisha kuw hiv humu cc hatutaki umzungumzie maisha ya mtu mwngne kwn hapo ni sawa na kumsema vbaya marehemu ambye hawez kujibu kw wakat huo..swala la ngada hata mm siungi mkono tatzo lngu mm kwko ni kule kumfuatilia mtu had ukaenda kumuwekea kambi,kama ulikuwa hujui ni kwamba mafanikio ya mtu yanategemea muda wko unavyoutumia,mlalamikaji humu ni wewe ,mwendesha mashtaka ni wewe je yupo wapi mtuhumiwa? Unavyodhani ni sahihi.kama lengo ni kumrekebsha cc tunaanza na wewe kukurekebsha hvyo basi ulipokosea ona kosa lako na kiri kwmba umekosea
 
Kawatshe wasiojielewa wenzako kama wewe,.wewe mwenyew hujui mm nan na nafanya nn,kama unafanya kazi ya TISS kuna utaratbu wake wa kutoa report za namna hyo na si kama ulivyotoa wewe humu,
 
Kawatshe wasiojielewa wenzako kama wewe,.wewe mwenyew hujui mm nan na nafanya nn,kama unafanya kazi ya TISS kuna utaratbu wake wa kutoa report za namna hyo na si kama ulivyotoa wewe humu,
Kwani we nani na unatafuta nini huku? Nimesema mpuuzi na puanguani pekee ndie hawezi kunielewa. Shika adabu yako bwana mdogo.
 
Kenge wewe, kama wew sio mmbea umefuta nini hapa? Mijitu nyie ndio mnao tupa shida na kuturudisha nyuma. Kwa hiyo biashara ya madawa ina mhusu nani? Kwani vita hii ya madawa na Ujinga wa mastaa wetu na umarufu wa kwenye mitandao wakati maisha yao magumu tutaifikia Tanzania ya Viwanda?
acha kuwa na akili za mwendo kasi sasa humu kuna wanausalama? si uwape mchongo askari waje kumkamata...acha ufala mtoto wa kiume hawezi kufatilia biashara za mwanaume mwenzie au mwenzetu sio riziki nini
 
Ni punguani na mwendawazimu pekee ndie awezi kunielewa, mwenye akili timamu pekee ndiye anaeweza tambua thamani ya ujumbe huu. Mtaani kwako hapo uswahilin ni wangapi wanauza madawa na umeshindwa kutoa taarifa sehemu husika? Je unajua kazi yangu we mpuuzi, kwa taarifa yako nailisha familia yangu na kumudu maisha ya hapa jijin kwa kazi hii.
kama kwa kazi ya umbea usio na tija unailisha familia yako hongera ila umbea si sifa kwa mtoto wa kiume.
 
kama kwa kazi ya umbea usio na tija unailisha familia yako hongera ila umbea si sifa kwa mtoto wa kiume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] siwezi kuendelea kujibizana na mtoto humu, kazi yako kubwa kula na kulala basi. Mpaka sasa bado unalalia kilago cha Baba yako hapo sebuleni. Nenda kapikia watoto chakula cha jioni na kuosha vyombo ndio kazi yako.
 
sawa ila mimi nakuchukulia kama mtu mzima usie jielewa.
 
OK, Huo mtaa wa magengeni naweza kupata?? Au vipo kule mbele karibu na mmbande?
Ukiongea na wazee wa hapa unapata tu. si unajua ?

Pia unawaza kutafuta kule karibu na shule ya sec chamazi. au kulekea kule Saku Ilulu.viwanja vipo na maeneno mazuri kabisa. sio mnaenda kuishi Kimara kwenye milima na nia mbaya kisa mnasema ni karibu na mji
 
Ntakuja weekend aisee!! Kimara ni milima halafu Kuna shida ya maji mno!
 
acha kuwa na akili za mwendo kasi sasa humu kuna wanausalama? si uwape mchongo askari waje kumkamata...acha ufala mtoto wa kiume hawezi kufatilia biashara za mwanaume mwenzie au mwenzetu sio riziki nini
Sikiliza kijana Mimi umri wangu ni sawa baba yako lazima uwe na heshima. Kazi ya kupambana na madawa ya kulevya sio ya Magufuli pekee jamii yote inahusika. Kama biashara halali nifuatilie ya nini? Na kuitoa humu ni kama fundisho kwa nyinyi mnaoishi maisha ya maigizo. Kwa mfano wew hapo mpaka sasa huko kwenu unakula ugali wa Baba yako, kufanya kazi hutaki, unakesha kwenye mitandao kupost vipicha vya kipuuzi eti staa.
 
Back
Top Bottom