Duuuh ni shida labda anahisi anaibiwaKuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu
Lakini kila demu anao zaanao nila zima watoto aende kupima DNA kwa nini
A: wanawake anaozaanao si waaminifu wana mabwana wengi
B: yeye mwenyewe si muaminifu kwa wapendwa wake
C: au huyo yeye ana kasoro hajakamilika sasa hajiamini hao wanawake wanakwenda kasababu ya pesa lakini kilepete
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa umeshindwa kutaja jina lake au hata pichaKuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini?
A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana wengi
B: Yeye mwenyewe si muaminifu kwa wapendwa wake.
C: Au huyo yeye ana kasoro, hajakamilika sasa hajiamini hao wanawake wanakwenda kwa sababu ya pesa lakini kilepete
Sent using Jamii Forums mobile app