Msanii huyu sio bure, kila anaezaa naye lazima wakapime DNA

Msanii huyu sio bure, kila anaezaa naye lazima wakapime DNA

qaxemvule

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
231
Reaction score
120
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini?

A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana wengi

B: Yeye mwenyewe si muaminifu kwa wapendwa wake.

C: Au huyo yeye ana kasoro, hajakamilika sasa hajiamini hao wanawake wanakwenda kwa sababu ya pesa lakini kilepete
 
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu
Lakini kila demu anao zaanao nila zima watoto aende kupima DNA kwa nini

A: wanawake anaozaanao si waaminifu wana mabwana wengi

B: yeye mwenyewe si muaminifu kwa wapendwa wake

C: au huyo yeye ana kasoro hajakamilika sasa hajiamini hao wanawake wanakwenda kasababu ya pesa lakini kilepete

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh ni shida labda anahisi anaibiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msanii gani huyo wengine dunia ipo speed imetuacha.
 
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini?

A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana wengi

B: Yeye mwenyewe si muaminifu kwa wapendwa wake.

C: Au huyo yeye ana kasoro, hajakamilika sasa hajiamini hao wanawake wanakwenda kwa sababu ya pesa lakini kilepete

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa umeshindwa kutaja jina lake au hata picha
 
Back
Top Bottom