qaxemvule
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 231
- 120
Kuna msanii mmoja hapa duniani mtanashati mrembo mpendwa na mademu. Lakini kila demu anao zaanao ni la zima watoto aende kupima DNA, kwa nini?
A: Wanawake anaozaa nao si waaminifu, wana mabwana wengi
B: Yeye mwenyewe si muaminifu kwa wapendwa wake.
C: Au huyo yeye ana kasoro, hajakamilika sasa hajiamini hao wanawake wanakwenda kwa sababu ya pesa lakini kilepete