Msanii Ibra wa Mmakonde karudi nyuma hatua 70

Msanii Ibra wa Mmakonde karudi nyuma hatua 70

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila hawako organize kutoka mwezi wa 4 mpaka sasa washatambulisha wasanii wanne,yeye mwenyewe sasa kila siku ana achia nyimbo zake.Lazima wa kwame.Wana mipango mingi ambayo mwisho wa siku haitekelezeki.

Miezi miwili iliyo pita Harmonize na EFM (Bdozen na Majizo) walisema wataandaa show Uhuru kwa siku tatu mfululizo kuanzia tar 7 mpaka 10,lkn ukitizama mpaka sasa hata dalili hamna.

Wale Cheed na Killy walitakiwa watoke mwishoni mwa mwaka kesho au kesho kutwa tena kwa awamu,yy wote kawatambulisha August na sijui watawa promoti vipi.
Huoni kwamba ndani ya trh hizo maccm yalikuwa na jambo lao la kuharibu uwanja wa mkapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣 ila hawako organize kutoka mwezi wa 4 mpaka sasa washatambulisha wasanii wanne,yeye mwenyewe sasa kila siku ana achia nyimbo zake.Lazima wa kwame.Wana mipango mingi ambayo mwisho wa siku haitekelezeki.

Miezi miwili iliyo pita Harmonize na EFM (Bdozen na Majizo) walisema wataandaa show Uhuru kwa siku tatu mfululizo kuanzia tar 7 mpaka 10 November 2020,lkn ukitizama mpaka sasa hata dalili hamna.

Wale Cheed na Killy walitakiwa watoke mwishoni mwa mwaka kesho au kesho kutwa tena kwa awamu,yy wote kawatambulisha August na sijui watawa promoti vipi.
Muache na mipango take kaamua iwe hivyo
 
Kuna watu ni mashabiki lialia, hawawezi kujua muziki.

Mtu tangu asubuhi mpaka jioni kaweka Wasafi TV/FM instagram anawafollow Wasafi tu hawezi kujua muziki nje ya circle hiyo.

Huyo dogo hata akiachwa hapo Konde music hatakosa msimamizi.

Uwezo wake ushaonekana
Naunga mkono hoja hahah
 
Huyu bwa mdogo alianza vyema lakini sasa hivi anazidi kudrop, wimbo wake mpya haueleweki, haufanyi vizuri sokoni, promo kutoka kwa boss wake hapati ya kutosha..kaporomoka hatua 70 nyuma, ni vyema ajitafakari uwepo wake pale KM una tija yoyote?

Kwani lini aliwahi kuwa juu?
 
Wale wa wili walio ingia kutoka king music ndo kabsaa ..country mwenyewe kachuja na EP yake
 
Huyo dogo sijawahi hata kushawishika kumsikiliza. Namuelewa yule dogo wa Kiba wa kuitwa Tommy Flavor ingawa Kiba naye anafail kwenye kupromote wasanii wake
 
Back
Top Bottom