Uhujumu uchumi na kutakatisha pesaHaya wamuhoji halafu wamfikishe mahakamani kwa kosa lipi ? Hawa wamekosa kazi tu.
Uhujumu uchumi na kutakatisha pesa
Atashitakiwa kwa kosa la kutakatisha picha ya rais.Uhujumu uchumi na kutakatisha pesa
Hawezi kutoa tamko maana alishaona ni viherehere vinawasumbua alivyo wa ajabu idriss ataitwa mtuhumiwa kesho amuite akamchekeshe ikuluKwanini rais hajatoa tamko kuhusu swala hili?